Wenje: Serikali yetu inaendeshwa abnormal na abnormalities government | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenje: Serikali yetu inaendeshwa abnormal na abnormalities government

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 26, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ahoji wakuu wa mikoa yote kwenda Dodoma kufanya nini wakati kuna tv? Kasema nchi hii wanakula nchi leo kesho tunakuwa ombaomba kwa nchi ambazo cabinet zao hazizidi wajumbe 25 sie tuna baraza la watu zaidi ya 50.

  Kashangaa wizi wa Kishapu kuundiwa tume wakati CIG keshamaliza kazi?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo Mzee dhaifu aka abnormality anaenda lini Canada kwenye ile sherehe
   
 3. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona umeandika headline laini. Andika hivi, 'Wenje awachana wakuu wa mikoa, ahoji pinda kujivunia safari za rais kuomba misaada'. Ha ha ha ha
   
 4. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Inagoma kaka nimeipenda
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hajaomba kufuta kauli...
   
 6. M

  Mta pter Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Nili enjoy tyme ile ma Rcs,walipooneshwa wanauza sura kwa aibu,baada ya Kuchanwaa live!
   
 7. R

  Ramso5 Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera mbunge wangu,unatuwakilisha vema,hakika kura yangu haikupotea bure.maneno uliyochomekea ingekua kwa kiswahili ungekua umepigwa mwongozo na lukuvi zamani.
   
 8. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Huo ni ukweli ni nchi ya starehe kuliko kujali matatizo ya wananchi, kiasi pesa watakazotumia kuwa dodoma tungenunua mawadati mangapi?
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Lukuvi is reachable not!!!
  Tookuntu you??
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hiv lookuu-v hajui inglish????why hakuuomba mwongozo
   
 11. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  alikuwa anachomeka english sehemu zenye utata, hivyo lukuvi akuelewa
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahahahaahahahaahahaahahah....kumbe ukitaka kuwatukana CCM ongea kiingereza....John Mnyika unasikia
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Ilani na sera za ccm ni kuifanya Tanzania iwe kama Ugiriki iilvyo leo kiuchumi, and surely they will achieve it if we don't intervene
   
 14. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ama kweli la kuvunda halina ubani,mara ooh tunapunguza gharama za matumizi yasiyo ya lazima then ndo hayo ya kuwakusanya wakuu wa mikoa Dodoma. Magamba wamevurugwa kabisa.Heshima yako Kamanda Wenje kwa kuwachana ukweli.Naamini kwa code-mixing ulizotumia umemwacha porini yule mtukanaji wao Lusinde
   
 15. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa.
  Wakuu wa mikoa 25
  Makatibu wa wakuu wa mikoa 25
  Madereva wa Wakuu wa Mikoa 25
  Makatibu Tawala 25
  Madereva wa Makatibu Tawala 25
  Fuel?
  Depreciation of Motor vehicles?
  Magamba hata hili hawalioni
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  hajui!,yeye alielewa kuwa amesema serikali hii bomba
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, peooooooooples poooooooweeeer
   
 18. m

  majebere JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kweli bunge la tanzania limekosa hadhi kabisa,hata haka kajamaa kameweza kuingia humo.
   
 19. D

  Danho Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais ni dhaif,serikal ni dhaif na ccm ni dhaif....
   
 20. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwahiyo unamanisha lukuvi katoka kapa
   
Loading...