Ni aibu kwa serikali, sababu haikuwa na mkakati wowote wa kutatua tatizo la upatikanaji wa vitabu na madesiki mashuleni kwa nini wazazi na watanzania wote kwa ujumla wasifanye kama madakitari...
Kumekuwa na upotoshaji wa makusudi na hakika siyo wa bahati mbaya ambao umekuwa ukielezwa na viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Raisi JK na Waziri Mkuu Pinda juu ya kiasi cha fedha...
Mmoja wa watu ambao wamekuwa wakihusudiwa sana na wananchi wa kada zote mathalani raia wa kawaida na vyama vya siasa kwa uchapaji kazi wake ni mh magufuri. Ila baada ya kcuhunguza sana baadhi...
Nawasalimu watani, wa bara na visiwani,
Ninalo la kuwapeni, lanitoka mtimani,
Linatokea mijini, mpaka kwetu kijijini,
Panya wakila ghalani, hukonyezana kwanini?
Ni kama hawajuani...
The government is in the final stages of formulating a policy on natural gas, the House was told yesterday.
This was said by deputy minister for Energy and Minerals George Simbachawene when...
Hebu anaglieni mapungufu haya:
Your Excellency Mohamed Abdelaziz, President of the Saharawi Arab Democratic Republic;
Honourable Bernard Kamillius Membe MP, Minister for Foreign Affairs and...
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 25/06/2012 // Sauti // 8 Comments
Kwa hisani ya mwandishi Salma Said,
Bonyeza vidio
Sauti:Tamko la UAMSHO | Mzalendo.net
Chanzo www.mzalendo.net
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania katika miaka ya hivi karibuni.
Nakubali kabisa kuwa hali ya siasa ilivyo hivi sasa imechangiwa na mapungufu ya serikali ya chama tawala, ccm...
Kati ya marais wa nne wa Tanzania, wawili (BWM na JMK) wamepata kuwa waziri wa mamno ya nje. Usipo mhesau Nyerere ambae ndiyo raisi wa kwanza wa nchi unagundua kwamba maraisi wawili kati ya watatu...
Nimezaliwa ktk kata hii ya moshono yenye rasilimali nyingi hasa mauzo ya moram na kokoto na katu hajapata kutokea diwani aliyejijengea sympathy kwa wapiga kura toka 2kiwa halmashauri ya Arumeru...
Na Raphael Kibiriti
25th June 2012
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa
Chama cha Wananchi (CUF) kimeituhumu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwa na mkakati wa wazi...
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Ndugu Makada wenzangu, kama mjuavyo siku zinazidi kupepea na mwaka 2015 ndio huo unatunyemelea kwa kwasi.
Hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu ni shwari licha ya...
IKULU BLOG | Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Hako ndo kablog ka Ikulu mbona kapo kwenye lugha ya mkoloni? Hivi wapiga kura walio mwingiza JK hapo white house wote wanajua kweli lugha ya malkia...
Viongozi wa bunge walikuwa na nafasi/wana nafasi ya kubadilisha mtazamo wa wabunge wa upinzani ie CHADEMA kwa kufanya yafuatayo Kiongozi wa bunge (Spika/naibu spika/mwenyekiti wa kamati) kama...
Ahmed Rajab | RAIA MWEMA | Toleo la 243 13 Jun 2012
ALIPOFARIKI dunia Mwalimu Julius Nyerere Oktoba 14 mwaka 1999, gazeti laGuardian la Uingereza liliniomba niandike makala...
Kipindi cha tuingee asubuhi, waziri Mwinyi ameingia mitini..Je kuna udhuru zaidi ya wananchi kufa?? hawako serious kutatua mgomo huu!
My take:
Bwana Mponda alikuwa akitumia njia hizi hizi kutatua...
Wadau nimesoma kwenye mitandao kuwa jk ataonana na muigizaji otomolo kutoka nigeria....mimi nadhani kwa hili tishio la mgomo wa madaktari bora anggeonana na madaktari kuliko huyo mwanamama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.