Membe - Chadema walikuja kwangu wakiwa na njaa

Suzie

JF-Expert Member
May 7, 2010
1,259
409
Akiongea na clouds FM Membe anawapaka CDM akianzia na Slaa hatimae G. Lema
 
Akiongea na clouds FM Membe anawapaka CDM akianzia na Slaa hatimae G. Lema

Hapo kwenye Red, je anawapaka mafuta au matope? Habari nadhani haijakamilika, hebu ikamilishe mkuu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Mimi ni mwana CCM ila naona kama kuna maelezo yamepindishwa na Mh. Membe, anapodai eti ilikuwa ni chakula cha kawaida wala haikupangwa lakini uwepo wa vyombo vya habari unaonesha hili lilikuwa ni tukio la kupangwa.
 
Kwa hiyo anataka alipwe hicho chakula chake ama?
Nadhani si busara kumsema mtu kwa chakula ulichomkaribisha mwenyewe yale ni mavi tu,
yanayotupwa chooni.
 
membe yuko clouds FM anahojiwa na Gerald hando, anasema hakuwaalika Godless lema na wengine kwake ila alipokuwa mezani mlinzi alimwambia vijana wa chadema wako nje akawakaribisha, wakaingia na walikuwa na njaa kwelikweli wakala

Pili anasema watanzania wanajua kamwe hawezi kuifagilia chadema na hata Clouds wanajua kwanini hawezi mmmh?

kauli hizo zenye rangi nyekungu ndo zinanipa dukuduku, ile story ilikuwa ni propoganda ama kweli?

kasema kama kuna mkanda waliurekodi na wautoe ...atajiudhuru hata sasa!

Nimestaki kidogo
ngoja niendelee kumsikiliza nakuja kuleta uptodate
 
Mimi ni mwana CCM ila naona kama kuna maelezo yamepindishwa na Mh. Membe, anapodai eti ilikuwa ni chakula cha kawaida wala haikupangwa lakini uwepo wa vyombo vya habari unaonesha hili lilikuwa ni tukio la kupangwa.

wewe ndo kama vile umekuwa mtoa maada maana hawa wengine wamejitahidi kuropoka tu
 
Na huyo Lema apunguze kujipendekeza kwa viongozi kila siku majumbani kwao, mara Oysterbay kwa JK mara Mtama kwa Membe.
 
Kwa hiyo anataka alipwe hicho chakula chake ama?
Nadhani si busara kumsema mtu kwa chakula ulichomkaribisha mwenyewe yale ni mavi tu,
yanayotupwa chooni.
anamaanisha kuwa CDM iwe inatoa posho ya kutosha ili vijana wasi shinde njaa
 
Na huyo Lema apunguze kujipendekeza kwa viongozi kila siku majumbani kwao, mara Oysterbay kwa JK mara Mtama kwa Membe.
We kweli hujui utamu wa ubunge, lazima ajipendekeze ili arudishiwe ubunge. Lakini ndio ajiangalie tu, tabia ya mtoto wa kiume kujipendekeza ni mbaya.
 
Uwoga ni ugonjwa mbaya sana.

Kweli anaogopa kupigwa chini kula za maoni,sasa ameona ajitetee!

Hivi kweli mtu mzima unaweza kuongea maneno kama hayo.

Membe unajaribu kujiosha ndugu

jaribu kuwa wazi

ukweli ni uhuru
 
Hivi kuifagilia Chadema dhambi !!! Mbona uyu anazungumza kama ajielewi! Janaume zima uwakaribishe watu kwako wale au waonje leo uwatangaze eti walikula na kunywa cse walikua na njaa!!

Haoni hata aibu anavyo jitetea kama mtoto kisa kaambiwa anajiunga chadema, kwani angesema hapana na kunyamaza angenyongwa.
 
anamaanisha kuwa CDM iwe inatoa posho ya kutosha ili vijana wasi shinde njaa

Kwani umeambiwa huwa hawali?viomgozi wenu waliwakaribisha wenyewe lakini leo wanageuka,
lakini si vema kumsema mtu kwa ajili ya chakula,
kwani yeye hajawahi kukaribishwa/kula kwa watu?
Huo ni ujinga uliopitiliza ukimueleza mtu mwenye akili timamu lazima akushangae.
 
Hivi kuifagilia Chadema dhambi !!! Mbona uyu anazungumza kama ajielewi! Janaume zima uwakaribishe watu kwako wale au waonje leo uwatangaze eti walikula na kunywa cse walikua na njaa!!

Haoni hata aibu anavyo jitetea kama mtoto kisa kaambiwa anajiunga chadema, kwani angesema hapana na kunyamaza angenyongwa.

Mkuu mambo kama haya yapo kwenye chama "DHAIFU" tu kila mwana CCM ni DHAIFU.
 
Hivi kuwa na njaa ni dhambi? Mbona kila siku yeye anakwenda lunch kwa hiyo ana tatitizo au kwa sababu hajazoea kutoa bali kujilimbikizia ndo maana ina muuma kumpa mtanzania mwenzake chakula? What is chakula bana? Njaa anayotaka kuisema Membe ni ile hali ya kupigika kitu ambacho hataweza kuwaaminisha waTZ kwamba CDM walikuwa wamepigika akawa sevu
 
kama kweli membe kasema jamaa walikuwa na njaa ndio maana aliwapa chakula, hilo ni jambo la fedheha kubwa sana..huwezi msema mtu yoyote kwa staili hiyo..siasa ni mbaya sana..utu kwanza..ina maana hao jamaa huwaga hawali chakula mpaka membe awape??
 
Na huyo Lema apunguze kujipendekeza kwa viongozi kila siku majumbani kwao, mara Oysterbay kwa JK mara Mtama kwa Membe.

Na uyo Membe kama sio kutojiamini nn? Alipo sikia Chadema wanaenda jimboni kwake nae akajipeleka kama kweli ye ni mtendaji kwann asubiri chadema wapite nayy afwate nyuma.
 
Back
Top Bottom