Waziri wa nishati na madini,tuliouziwa nguzo za umeme na tanesco ni haki au tumeibiwa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa nishati na madini,tuliouziwa nguzo za umeme na tanesco ni haki au tumeibiwa??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, Jun 26, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nina zaidi ya miezi sita toka nilipie nguzo mbili kwa zaidi ya milioni mbili na nusu na umeme bado haukufungwa wala nguzo kuwekwa.sasa swali langu ni je nimeibiwa au ni halali kulipia nguzo pindi uendapo kuomba umeme?niliwahi kusikia kwenye bunge lililopita,sikumbuki ni mbunge gani alisema watu waliolipia nguzo waende wakadai pesa zao kwani hakuna sheria inayosema mteja alipie nguzo pindi aendapo kutaka aunganishiwe umeme.naomba mwenye uelewa wa hili suala anisaidie kujua kama nimeibiwa au ni sawa kulipia hizo nguzo.asanteni
   
Loading...