Nape awavuruga Chadema Mbeya!

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
 
ni pampasi mwenyewe huyo anatumia id nyingi kwa sugu apate wanachama wapya labda amuombe kibonde atujuze clouds shame on u kilaza nape
 
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!

Join Date : 22nd June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Wewe ni DHAIFU nini? Au Umenunuliwa? Mbona MPYA? HII NDIO POSTI YA KWANZA INA MAANA NI NAPE KAGEUKA?

UNATAKA WATU KWAKUJADILI? WEKA PICHA BASI? VIJANA WA SHULE RAHISI KUWANUNUA...

NENDA SOKONI KAMA SUGU ALIVYOFANYA...

[
MODS Tafadhali angalia huyu Mwana Jamii hii ni Mara ya Pili tunamuona Mpya Ameanzishwa Tarehe June 22nd 2012]
 
Kageuka aweza kuwa mwenyewe coz hawa Magamba wanavyojifagilia wenyewe ni ugonjwa mkubwa huu umeimarishwa na Mwigulu Nchemba, Kujisifia uongo,CHADEMA Mikutano yao wanafanyia nje hakuna ukumbi wa kutosha, sa ye kaita ccm yote wameenda chuo na hao waliojiita wanafunzi MAGAMBA wa ccm,
Join Date : 22nd June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Ni Id yako yako ya ngapi hii?
 
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!

Join Date : 22nd June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
10.+Nape+akiwasili+mbeya.jpg
 
2015 hawa watoto hawapigi kura na wazee wote na kina mama wanaogopa kupigwa mabomu vijana wa wengi ni wapenzi wa chadema kura mtazitoa wapi?
 
Watoto wa shule wanafanya nini kwenye mikutano ya siasa za Nape? Kama anataka watoto wa shule ajaribishe international/saint schools.
 
Duh yani magamba kwishney, umejifagilia huku hapohapo ukijitukana katika thread yako.
 
silly season nyingine imevamia mbeya huyu pampasi bwana anataka kuwafanya watu hawana akili anapima uelekeo wa upepo huyu kakosa kazi kaona aingie hapa kwa ID mpya ili kujua mawazo ya watu DHAIFU MKUBWA WEE
 
ameivuruga vipi chadema, kwani hao alowapa kadi ni wanachama wa Chadema, asiote kuivuruga chadema Mbeya, labda Bagamoyo, JK mwenyewe Mbeya anaigwaya, sembuse huyo houseboy wake
 
Join Date : 22nd June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Wewe ni DHAIFU nini? Au Umenunuliwa? Mbona MPYA? HII NDIO POSTI YA KWANZA INA MAANA NI NAPE KAGEUKA?

UNATAKA WATU KWAKUJADILI? WEKA PICHA BASI? VIJANA WA SHULE RAHISI KUWANUNUA...

NENDA SOKONI KAMA SUGU ALIVYOFANYA...

[
MODS Tafadhali angalia huyu Mwana Jamii hii ni Mara ya Pili tunamuona Mpya Ameanzishwa Tarehe June 22nd 2012]
Kageuzwa
 
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
am huyu kijana ni noma alishawahi kuwaangusha rostam, lowasa na chenge akawavua magamba ndani ya siku 90 an akawashawishi wa tz kuvaa uzalendo na pia kuwakumbusha jinsi awamu ya nne ilivyoboresha maisha yao
 
Nape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.
 
Movement for Crusade is really forever, no doubt.
Kaka,
Wewe vutia kwako na mimi kwangu. Ni yale yale ya Simba na Yanga. Usitokwe povu bure.
At the end of the day Tanzania ni yetu sote and we have to live together.
 
Back
Top Bottom