Mufti Simba anaweza kutoa tamko kuibana serikali iwakamate walioweka pesa mabenki ya Uswisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mufti Simba anaweza kutoa tamko kuibana serikali iwakamate walioweka pesa mabenki ya Uswisi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 26, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Anaweza kiongozi huyu mkumbatiaji mkubwa wa magamba kutamka hivyo?

  Manake tayari kisha ingilia masuala mengine kama vile ya sensa nk. tunataka alaani masuala ya tija zaidi kwa mustakabali wa taifa hili kuwalani mafisadi wa CCM, kama kweli ana huruma na Watz wanaoibiwa.
   
Loading...