Mh. Ezekia Wenje hili nalo neno. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Ezekia Wenje hili nalo neno.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frema120, Jun 27, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot]"My friends are it realistic for the government to have more than 50 members
  of cabinet when the giant country that gives us aids have lesser than that?
  Look here USA currently has 15, Japan 18,Germany 16,UK 23 and
  France less than 20 cabinet members...

  Hawa wote wana cabinet ndogo na ndo wanatupa msaada wakuja kuendesha cabinet kubwa mara tatu kuliko za kwao....lazima watushangae!
  [/FONT] "

  SOURCE; A/c yake ya facebook
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii kaandika Wenje? mbona Kiingereza kibovu namna hii, sasa kwa watu kama huyu hata mawaziri 200 hawatoshi.
   
 3. mandella

  mandella JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,635
  Trophy Points: 280
  Kingereza lugha ya wa2 hii ,,, ningesikita kama angekosea Kiswahili lakini kiingereza acha akosee tu !! Cha kueleweka kinatosha !!
  So acha ulimbukeni wa kusema eti kiingereza kibovu !! Ulimbukeni huo !!

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
Loading...