M4C: Wabunge wa CCM Lindi na Mtwara wahaha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C: Wabunge wa CCM Lindi na Mtwara wahaha!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Myakubanga, Jun 27, 2012.

 1. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wanabodi,muda huu bungeni muda mfupi ulio pita wamechangia wabunge wawili wa CCM wa Lindi na Mtwara na kulaumu kuwa wabunge wa chadema wanaingia kwenye majimbo yasiyo yao na hivyo kuhatarisha amani.
  MY TAKE:Huku ni kuhaha kwa wabunge wa CCM kwani ndio mwisho wao unafika hivyo.
   
 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Na bado tena aliyewanusuru ni kifo cha kamanda wa shy,ila mapambano bado yanaendelea na watangoka!walikuwa wapi miaka yote
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wametokwa mapovuuu wana hasira hao
   
 4. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kuna msemo unasema kwamba ukirusha jiwe gizani ukasikia mtu anasema aiiii ujuwe limempata. Hivyo chadema wanapaswa kukaza mwendo kwani wabunge wa ccm katika mikoa ya kusini wameshaingiwa na hofu ya kuondolewa madarakani mwaka 2015.
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Inaonekana wazi kuwa wameshikwa pabaya, wanasingizia amani na utulivu eti itavunjika. Kila mbunge wa maeneo yale akiibuka kwanza analalamikia M4C. Twanga kotekote CDM, acha ccm wabakie na visingizio vya amani na utulivu.
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Natumaini hofu hiyo ya wabunge wa ccm kusini itawapa nguvu zaidi chadema. Kitendo wabunge wa ccm kuanza kuhaha ni ishara nzuri kwamba ziara inaonyesha kupata mafanikio.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  ukitupa jiwe kwenye giza alafu ukisika ahhh! ujue limempata muhusika.
  M4C with no apology.
   
 8. M

  Murrah Senior Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo ni cheche bado moto
  Unakuja wanategemea wapiga kura wataendelea kuwa zuzu saa ya ukombozi wao iko karibu sana
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Leo nimeona Kama ulipigwa ban asubuhi au macho yangu
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha haha, alipoanzisha thread ya sauti ya ulimboka clouds fm nini? hata mimi pale sikuelewa dosama alikuwa anamaanisha nini.
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  ni kweli mkuu!
  Mwanzo wa ngoma ni lele,na nasikia vigelegele toka kusini.
   
Loading...