Maskini JK namuonea huruma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini JK namuonea huruma!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bra-joe, Jun 25, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Nimekaa na kufikiri nikaona kama Jk ameingia ulingoni kupambana ngumi (kuiongoza Tz) ktk ulingo usiokuwa na muamuzi (raia ambao ni walalamikaji tu) na kocha wake (bunge). Halina mbinu mbadala. Jk kaelemewa sana na mpinzani wake (matatizo yaliyopo nchini) uso wake (wananchi) hautamaniki jinsi ulivyovimba na kutapakaa damu, kocha wake wala hana mpango wa kutupia taulo ulingoni na ni round ya 9, maskini Jk, sijui mwisho wake itakuwaje! Hapa namaanisha Raisi wetu nchi imekwishamshinda na hakuna chombo chochote cha serikali kitakacho mnyang'anya Raisi madaraka mpaka atakapo maliza muda wake (huu ni udhaifu wa muundo wa kuiongoza serikali) wala wananchi hatuna ubavu wa kuingia street kumtoa Raisi, wabunge nao wanaona poa tu Raisi hajiwezi (DHAIFU) lakini hawachukui hatua yoyote kuliokoa Taifa. Nafikiri katiba mpya ni lazima kuwe na kipengele kinachosema kama itaonekana Raisi hajiwezi kuiongoza nchi (DHAIFU) basi aondolewe kikatiba kulinusuru Taifa.
   
 2. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Aliulizwa kwa nini nchi ya Tanzania masikini akajibu hata yeye hajui!!!!!!!!!!!!! Mkuu wa kaya huyo!!!!!!
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Vina panda bei kila siku vitu vinapanda bei x 3.
  we mama weeee x 1.
  Kajana mmoja anasikika akiimba redioni.
   
 4. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alikosea kumtosa Lowassa ikiwa Richmond ni ishu ya JK mwenyewe
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hii hali tuliyonayo kiuchumi kwa sbb ya ufisadi ikimwachwa akiwa kama top wa kutoa kauli,Mi naenda kuomba uraia wa kudumu Sudan Kusini!
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kuna vituko duniani wewe ndio wa kumuonea huruma JK..
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jionee huruma wewe mwenyewe kabla hujawaonea huruma wengine
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kituko kituko.... naunga mkono
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tulijua wewe sio raia wa Tanzania hata kabla hujakwenda kwenu Sudan kusini... vita ya wenyewe kwa wenyewe imeisha umeamua kurudi kwenu ulijihifadhi Tanzania kuepuka vita.
   
 10. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  ya kaisali mpe kaisali na ya mungu mpe mungu
   
 11. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Hakuna wizara hata moja inayoweza kukupatia picha ya Tanzania itakavyokuwa walau 2014.
  Jk Mwenyewe hajui Tanzania itakuwaje japo 2015 zaidi kula perdiem za mamtoni siku zinakwenda. Ingawa ningependa aniambie 2020 Tanzania itakuwa mahali fulani Say Zaidi ya Kenya. Na 2040 tuwe sawa na South Africa. Tuna ongozwa na Vipofu wanaokula na kuondoa Ushahidi.
  YES tuna tatizo kama taifa.
  Tatizo lipo tena kubwa
  NALO TUNA OMBWE LA UONGOZI
   
 12. F

  Froida JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Amejitakiya hasikilizi,ni muoga mno na ana mapepe anadharau wananchi, muache mpaka atakapoona amefika kikomo atakabidhi nchi kwa wenyewe
   
 13. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  aliulizwa mbona nchi yako iko gizani hamna umeme akasema Yeye sio Mungu alite mvua,sasa sijui akili yake na upeo wake vimeishia kwamba maji tu ndio yanazalisha umeme?
   
 14. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ndiyo yaani kama ni mgonjwa yupo Icu, kazidiwa sana halafu kocha wake hana dalili zozote za kutupia taulo ulingoni.
   
 15. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  nijionee huruma kwa lipi? Yaani huyu jamaa anaomba hata 2015 ingekuwa kesho ili atue zigo linalomshinda, ana hali mbaya sana.
   
 16. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Kweli kituko, mkuu wa kaya anashindwa kuongoza nchi halafu wewe unaona poa? Itafika kipindi watanzani itabidi kupimana akili, kwa nguvu utake usitake lazima upimwe.
   
 17. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  huenda wakati huo ikawa too late, ni bora akaachia sasa hivi, unakumbuka THB au RTC? ilikuwa hivyo hivyo mpaka maduka yote yakafa.
   
 18. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hivyo hivyo tu mwisho ataweza.
   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mh makene kweeeeema. Habari za toka jana..
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwa hali jk aliyonayo sasa sioni haja ya kuanza kujionea huruma mimi ila yeye kwanza maana kama ni record mbovu kaziweka nyingi sana na sasa imebaki aweke record ya rais wa kwanza Tz kuachia madaraka kabla ya kumaliza muda wake
   
Loading...