Mbunge atoa wito kwa wabunge wenzake kutahiriwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge atoa wito kwa wabunge wenzake kutahiriwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jun 27, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mbunge khatibu said haji wa jimbo la konde, kupitia Cuf,amewaomba wabunge wenzake kwenda Jando ili kujiepusha na hatari ya maambukizi ya ukimwi,kama walivyofanya wabunge 140 wa zimbabwe
   
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huyu mzenji nae ana vituko - kajuaje kama wabunge wenzake HAWAJATAHIRIWA??????
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  yeye ametahiriiiiiii???
  inabidi NDUNGAI akae na kiboko pale mlangoni anamchungulia kila mmoja...ole wake akukute bado..unapewa BAN ya one day kama MNYIKA
   
 4. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Very funny! Nashauri wana JF walio wabunge wafikishe hili swali kwa huyu mheshimiwa Mbunge. Na akumbushwe kwamba kunaweza kuwa na swali la nyongeza.
   
 5. obm

  obm Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Labda anashiriki huwezi jua watu wamepinda siku hizi
   
 6. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,671
  Likes Received: 2,547
  Trophy Points: 280
  kuna wabunge huwa wananitoa stress sana halafu eti ka declare interest eti ye katahiriwa!
   
 7. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tehe tehe teheeee.w
   
 8. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Yeye amedeclare kwamba tayari
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Wazenji bwana
   
Loading...