Intelejensia, usalilti na mateseso kwa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Intelejensia, usalilti na mateseso kwa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by K.Msese, Jun 27, 2012.

 1. K

  K.Msese JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot][/FONT]


  [FONT=&quot]Intelijensia iliolala na yenye mawazo mgando ikidhani kuwa kumuua Dr. Ulimboka au kumtesa itawaogopesha madaktari ili warudi kazini. Waliofanya hivyo waliaminishwa ama na madaktari wenzie kuwa suluhu ya ili mgomo ufikie kikomo, ni kumwua Dr. Ulimboka (kwakuwa wao hawahitaji mgomo isipokuwa ulimboka ndiye anashinikiza) au viongozi wa intelijensia waliochoka kufikiri.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Waliomfanyia haya Dr. Ulimboka waliagizwa kufanya hivyo na waliowatuma, wangeweza kuhakikisha wamemwua kwanza kabla ya kuutupa mwili wake, au waliispea roho yake kwakutambua walichokuwa wakikifanya sio sawa bali ni kukidhi maelekezo ya wakuu wao, au walispea roho yake kwakuwa wauwaji hawakuwa kompitent.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Intelijensia inafail kutambua kuwa aliokuwa anawaongoza Dr. Uli, wengi wapo pamoja naye vinginevyo wasingekubalina naye. Intelijensia imefail kutambua kuwa balozi zote hapa nchini zinaona hili, na nchi zao ndiyo zinasapoti asasi zisizo za kiserikali katika kulinda haki za binaadamu na ili kupata mikopo na mustakabali mzima wa amani nchini.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Kama tunayo intelijensia ya hivi, kwanini isifanye hivi kwa wamiliki wa IPTL, Richmond na Dowans? Kwanini isifanye hivi kwa wale wakuu wa MSD waliofanya dawa ziharibikie stoo, huku wananchi wanakufa bila ya dawa? Intelijensia inayoambiwa kamuue dr. uli, wakati aliyekutuma hivyo yeye na familia yake wanatibiwa nje…..!

  [/FONT]

  [FONT=&quot]NGUVU YA MAHAKAMA[/FONT][FONT=&quot] .[/FONT]
  [FONT=&quot]Ilikataza mgomo wa madaktari, na sasa madaktari wanalaumiwa na serikali kwa kutotii agizo hilo. Mahakama hiyohiyo ilizuia mitambo ya Dowans isifanywe lolote hadi kesi zilizopo mahakamani zimalizike, LAKINI watu wakaiuza kwa SYMBION huku mashauri yaliyo mahakamani hayajamalizika na serikali hawakulaani hili…!

  Kibanga Msese
  [/FONT]
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. angalia kwa undani, mapana na kwa kila hali itelegensia ya nchi ilivyo, kufikia lengo walililotaka hawakuhitaji kwenda umbali wootee huo!!
   
Loading...