Je viongozi wetu wako ''IN TOUCH'' na wananchi wakawaida? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je viongozi wetu wako ''IN TOUCH'' na wananchi wakawaida?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jun 25, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi hawa viongozi wetu (wanasiasa, mabalozi, wakurugenzi wa mashirika ya umma etc) katika maisha yao je wanaishi maisha yao kama kama ya watu wa kawaida?
  [​IMG]
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  aah wapii...viongozi wengi wanalipiwa kodi za nyumba, mafuta ya gari na vitu kama vinywaji na chakula, na safari za ndani na nje ya nchi sasa mtu kama huyo ni mwananchi wa kawaida?
   
 3. D

  Don Draper Senior Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je Freeman Mbowe yuko intouch na wananchi?
   
 4. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Anayo club ya disco ile inatosheleza kwake kuwa karibu na wananchi wa kawaida
   
Loading...