Nimevua Gamba (CCM) rasmi najiunga na M4C & Peopes Power (CHADEMA) forefer

shykwanza

Senior Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
156
Reaction score
30
Baada ya kutumia muda mwingi kukitetea chama cha Magamba (CCM) hapa JF bila kuweza kubadili upepo wa vuguvugu la ukombozi natangaza rasmi kuachana na siasa za maji taka za CCM na kujikita katika ukomboza wa kweli wa Mtanzania kupitia M4C.

Aidha kwasasa nakujikita kutetea wanyonge wenzangu Walimu dhidi ya serikali dhaifu na dhalimu.

Wanachadema wote na wapenda mageuzi wote nchini naomba mnisamehe kwa upotoshaji mkubwa nilioufanya hapa JF kwa post na thread zangu ambazo ziliichafua chadema na viongozi wake (unaweza kuzingalia kwenye profile yangu).

Natumaini Makamanda wote waliopo JF mtanipokea na kwenda kushirikiana nami katika vuguvugu la kuing'oa CCM madarakani mwaka 2015 hata kabla ya hapo kama tuta appy japo kidogo Majority Patriotic Movement.
 
neno la mungu linasema samehe mia mara sabini kama umekiri kua ulikua mtenda dhambi karibu sana kwenye jeshi la ukombozi karibu sana kamanda
 
Kwa vile umekiri dhambi uliyokuwa unatenda UMESAMEHEWA!
 
Kuhama chama tu,haitoshi. Bali unapaswa kuwa mwadilifu na mwaminifu na mchapakazi.
 
Umefanya uamzi sahihi Kamanda Karibu kwenye Chama cha Asali na Maziwa CHADEMA, Peopoz Power
 
Asanteni makamanda kwakunikaribisha na kunivika Gwanda na Ukamanda sasa mapambano yanaanza rasmi
neno la mungu linasema samehe mia mara sabini kama umekiri kua ulikua mtenda dhambi karibu sana kwenye jeshi la ukombozi karibu sana kamanda
 
Karibu ila hatutaki wanafki, tunataka watu walio na msimamo thabiti. Wasioyumbishwa na ccm!
 
Kwa kuwa umekuwa na damu mpya ya utakaso, unaweza pia kuwashawishi wengine kama Ritz na magamba wengine, wafuate nyayo zako.
 
Asanteni makamanda kwakunikaribisha na kunivika Gwanda na Ukamanda sasa mapambano yanaanza rasmi
kiongozi karibu lakini si vibaya ukitueleza kilichokusibu mpaka kuamua uamuzi mgumu
 
Baada ya kutumia muda mwingi kukitetea chama cha Magamba (CCM) hapa JF bila kuweza kubadili upepo wa vuguvugu la ukombozi natangaza rasmi kuachana na siasa za maji taka za CCM na kujikita katika ukomboza wa kweli wa Mtanzania kupitia M4C.

Aidha kwasasa nakujikita kutetea wanyonge wenzangu Walimu dhidi ya serikali dhaifu na dhalimu.

Wanachadema wote na wapenda mageuzi wote nchini naomba mnisamehe kwa upotoshaji mkubwa nilioufanya hapa JF kwa post na thread zangu ambazo ziliichafua chadema na viongozi wake (unaweza kuzingalia kwenye profile yangu).

Natumaini Makamanda wote waliopo JF mtanipokea na kwenda kushirikiana nami katika vuguvugu la kuing'oa CCM madarakani mwaka 2015 hata kabla ya hapo kama tuta appy japo kidogo Majority Patriotic Movement.

Mungi say thanks for this very useful post. Karibu CHADEMA karibu kwenye mapambano ya kudai haki na usawa.
 
Umeniongezea matumaini mapya. Kila la heri Kamanda mpya
 
Kwa kuwa umekuwa na damu mpya ya utakaso, unaweza pia kuwashawishi wengine kama Ritz na magamba wengine, wafuate nyayo zako.

Ritz siyo mwana ccm, ila ana tatizo la udini.
 
Last edited by a moderator:
We tangulia katuandalie makao sie tumejificha nyjma ya mgongo wa NP.....wengine tutakuja siku ZZK akihamia CCM na JM akichaguliwa kuwa mgombea CCM. Maana sie wengine na mbalimbali na mambo yetu yale ya kupaa usikuuuuuuu
 
Back
Top Bottom