Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Kitendo cha kiongozi wa jumuiya ya madaktari bw. Ulimboka kupigwa na watu wasiojulika wanaosadikiwa kuwa wameagizwa kudhoofisha mgomo wa madaktari kunaashiri kila idara ioneshe ubabe wake wa kutatua migogoro.