Mbunge mh Hainessy Kiwia & Star tv

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Nimeshangazwa sana na urushwaji wa matangazo na picture wa star tv leo,,Tangu asbh pcture na houba vilikuwa vinaenda,,sambamba,,mara zamu ya mh kiwia wa Ilemela wa cdm alipoanza kuchangia hotuba ya wzr mkuu,,nilikuwa nasikia sauti tuu picture hamna,,nikitune tbc anaonekana,,. Mpaka mwisho alipotakiwa na waziri na naibu spika aithibitishie bunge kuhsu madai yakutaka kuuwawa na wanaccm ndo wakamwonesha,,kwa sekunde kumi na tano tuu,,huu ni uungwana ? na ni maadili ya vyombo vya habari? Au kuna nini na mmiliki wa star tv mh , Diallo,,Bado ana kinyongo kwa kushindwa? mwenye kujua atujuze tafadhali..
 
Imenisiktisha tena sana,sikujua star tv iko hivi kwa nini?

1.star tv hakuna ueledi leo nimeamini ,siambiwi tena.

2.kinyongo cha aina hii ni maafa kwa taifa na wafanyakazi wenu.

3.walioamua kiwia awe mbunge ni wananchi wa ilemela na siyo dialo na wana uhuru wa kuchagua.ukiwa na coverage ya tv usipendelee kwa kwan wewe ni kioo cha jamii.

4.mtazamo wa star tv kwa jamii imeharibika tena sana,bora mngeacha mwanzo mwisho kuliko kuonesha kisha kurudi ,,,what kind of image you are showing to the society.poor,very poor.

5.kuna vijana na wazee werevu pale star tv lakini from today nimewadevalue...akina mambo,muhuza.yahaya,range,thomas,ivone kamuntu,rahabu,rebeca,mzee wa anga za kimataifa n.k toeni ushauri kwa boss wenu,binadamu hatuko hivyo,ukitaka kumjua mtu alivyo angalia mambo anayoyafanya kwenye hadhira,utapata picha yanayofanyika nyumbani au gizani.

6.kwa jinsi ilivyokuwa ,anayoyasema kiwia yana ukweli...hakika israel na asema sasa.

7.star tv jirekebisheni,tena sana .
 
Nimecheki hadi huruma, mtu mwenyewe mgonjwa halafu wanamzingua! star tv badilikeni
 
Mimi pia ilo suala nilikuwa najiuliza sana, na nikadhani labda ni warushaji walioko ndani ya bunge dodoma wameshindwa ku-control mitambo yao.
 
Liwalo na LIWE,,,kaaazi kweli,siasa za tanzania bhana,,,,,ukiwa mwandishi wa media flan unalazimishwa kufuata anachokitaka mmiliki,,,,,hapo ndipo unapoudhalilisha ujuz wako
 
yahaya hembu tueleze ni boss au niwale warusha matangazo pale dodoma wanambania kiwia.
 
Labda watajifunza kutokana na taarifa ya kile ichofanyiwa Stesheni ya Televisheni ya kibinafsi inayojikomba kwa utawala wa Rais Assad wa Syria bila kujali maafa yanayowapata raia.
 
Yahya M, hawezi kusema kitu zaidi ya kukaa kimya. Ndiyo hivyo! watu wanahudhuria kanisani kujipendekeza na si kumcha mungu!
 
Hivi nyie mmeona leo!! Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa bunge kwenye tv zote mbili yani tbc na star tv, siyo mara ya kwanza kufanya hivyo!! Mara nyingi akiongea KIWIA star tv hawaonyeshi sura yake zaidi ya sauti tu!!!!!.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom