Serikali ya Tanzania si ya CCM!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Tanzania si ya CCM!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dingswayo, Jun 27, 2012.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Viongozi mbalimbali wamekuwa wakitoa hii kauli kuwa serikali ya Tanzania ni serkali ya ccm Nasema huu ni upotoshaji dhahiri kwa vile serikali ya Tanzania ni ya Watanzania, bali kwa sasa, narudia tena, kwa sasa inaongozwa na ccm.
   
 2. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  WW naona huna timamu unataka kusema hiyo bajeti huwa inapitishwa na watanzania? Cku zote bajeti hupitishwa na wabunge wa ccm na si wa chama kingine. Tumekua tukiona wabunge wa ccm ambao watapinga bajeti hua wanapata shida kwenye chama pamoja na kupinga kwa hoja ya msingi. Mfano Ester

  Ingekua c ya ccm wabunge wa ccm wangeungana na Zitto kama alivyofanya Filikunjombe kuunga mkono mpango wa waziri mkuu kujiuzulu.

  Tunasema ni ya CCM sababu serikali ipo ili kukidhi maslahi ya wachache mkuu. Huna hoja mkuu
   
Loading...