Dr Ulimboka: Internationa media wanavyoripoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Ulimboka: Internationa media wanavyoripoti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jun 27, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hujasomeka mkuu,rudi ufafanue
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
 4. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unapoleta habaro lete kamili, siyo unatuvizia, au ni kama vile unaleta maswali ya mafumbo sisi tuyafumbue! Hujasomeka!
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  yah vyombo vingi vimeripoti na balozi zao zipo apo nadhani watafikisha kwa maboss wao nchini mwao apo ndipo ban za kuzurura viongozi dhaifu zitakapokoma
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hizo ni habari nusunusu... labda chukua hizo pia...

  Mohamed Bouazizi (29 March 1984 – 4 January 2011; Arabic: محمد البوعزيزي‎) was a Tunisian street vendor who set himself on fire on 17 December 2010, in protest of the confiscation of his wares and the harassment and humiliation that he reported was inflicted on him by a municipal official and her aides. His act became a catalyst for the Tunisian Revolution[SUP][2][/SUP] and the wider Arab Spring, inciting demonstrations and riots throughout Tunisia in protest of social and political issues in the country. The public's anger and violence intensified following Bouazizi's death, leading then-President Zine El Abidine Ben Ali to step down on 14 January 2011, after 23 years in power.
  The success of the Tunisian protests inspired protests in several other Arab countries, plus several non-Arab countries. The protests included several men who emulated Bouazizi's act of self-immolation, in an attempt to bring an end to their own autocratic governments. Those men and Bouazizi were hailed by some Arab commentators as "heroic martyrs of a new Middle Eastern revolution."[SUP][3][/SUP]
  In 2011, Bouazizi was posthumously awarded the Sakharov Prize jointly along with four others for his and their contributions to "historic changes in the Arab world".[SUP][4][/SUP] The Tunisian government honored him with a postal stamp.[SUP][5][/SUP] The Times of the United Kingdom named Bouazizi as person of the year 2011.[SUP][6][/SUP][SUP][7]

  Source: [/SUP]Mohamed Bouazizi - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nijuavyo mimi ma daktari wako kwenye twitter etc au hawajuii maana ya twitter?
   
 8. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania msilalamike mliyataka wenyewe! Hiyo serikali mnayoilalamikia haikuingia msituni na kutwaa madaraka! Ni ninyi wenyewe kwa ushabiki wenu wa Yanga na Simba katika siasa mlipiga kura kama vipofu. Tulieni mkamuliwe vizuri hadi hapo mtakapopata mang'amuzi mwaka 2015.
   
 9. s

  sangija Senior Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafadhali Honolulu punguza jazba! kumbuka kuwa uchaguzi wa 2010 washindi halali hawakutangazwa! hili raia wengi tunalijua,so usilalamikie wazalendo tusiokuwa na hatia.Labda tuunganishe nguvu za pamoja tufanye maamuz magumu! ila kwa suala la kura,kwa tume hio ya uchaguz iliyopo!! hakuna ki2,2tarudia yaleyale tu!!!!! TATIZO NI TUME YA UCHAGUZI INAYO PENDELEA CCM KWA KUJIPENDEKEZA!!!!!!!!!!!!!!!!Majimbo walio shinda wapinzani,ni nguvu ya raia kama shinikizo ndo ilitumika kuleta haki!!!
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Jk anatakiwa apigwe ban Kama Rais wa sudan kaskazini
   
 11. D

  Don Draper Senior Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo mwanzisha mada anafkiri ma daktari wa Tanzania wako sophisticated kama wa Kenya au nchi zingine

  sidhani hata kama wanajua maana ya publicity au media propaganda let alone twitter

  na nadhani yote inatokana na njaa walio nayo
   
Loading...