mimi ni mwana ccm damu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimi ni mwana ccm damu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimbangu, Jun 27, 2012.

 1. kimbangu

  kimbangu Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Mimi ni mwana ccm na nadiriki kusema kua ni wa kudumu as sina mpango wa kukihama leo wala kesho ila nasikitishwa sana na ushabiki wa wabunge wa chama changu juu ya hoja ambazo ni dhaifu kwasababu tu imetolewa na mbunge wa chama chetu mfano mzuri ni mwongozo alioomba mwigulu nchemba jioni hii,mh tundu lissu alipokua anaelekeza wakaanza mzomea na yeye akawajibu vizuri sana kua kuzomea sio kujua.hii sometimes inatufanya sisi vijina ambao mostly ni critical thinkers kuwakubali wabunge wa cdm kuliko wa chama chetu as kwa akili ya kawaida tu haiwezekan mtu anatoka mwongozo ambao ni relevant ambao pia ungewasaidia na nyinyi kujipanga unapojenga hoja wkt mwingne nyie mnamzomea,kuwen makin wabunge Wangu
   
 2. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni choo kilichofurika huko kumejaa mainzi na mafunza bila kusahau uvundo dawa yake ni M4C SUPER SOLUTION, IT HAS BEEN APPLIED EFFECTIVELY IN MWANZA ,UKEREWE ,MBEYA AND ARUMERU WANANCHI LIKE IT VERY MUCH, PLEASE CONTACT LAU MASHA,GETRUDE MONGELA ,ANTHONY DIALO OR SIO SUMARI FOR FURTHER DETAILS . STAY TUNE FOR 2015, WE SHALL DISTRIBUTE M4C FREE OF CHARGE TO YOU DOOR STEP IN ALL CONSTITUENCIES IN MAINLAND TANZANIA.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmavi ma2pu
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  what i can say is Mwigulu ana HASIRA NA CHADEMA kule Arumeru, huyu ndio alikua meneja wa kampeni za CCM na zigo la lawama zote kuanzia na kuwaalika watu dhaifu kama kina Lusinde n.k lilimuangukia yeye!, sasa tangu wiki iliyopita naona kuwakamia sana CDM na upinzani.
  Tundu Lissu kanifurahisha sana, kamkata ngebe kwa kufuata taratibu.
  nachelea kusema Nchemba Mwigulu ni KILAZA anajifanya anajua mahesabu, Lissu kamjibu angekua makini angetoa hoja hiyo siku ilipokua inajadiliwa na sio kuleta leo wakati mjadala ni tofauti, AIBU ikamrudia kilaza Nchemba.
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hapa damu damu CCm chama dume dume la mbegu kama noma na iwe noma tuu
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kama wabunge wako wa CCM ndio hao unategemea hiko chama kimejaa watu wa aina gani? hivi huyu Mwigulu Mchemba ( Mzinzi ) kama anajiona ni mahiri kwenye uchumi, ametumia vizuri vipi taaluma yake kuiingizia CCM mapato ambapo ina vitega uchumi lukuki?
   
 7. kimbangu

  kimbangu Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Ivi unapotukana unakua na tofauti gan na aliyezomea?jiheshimu mangungo naamin mpaka umo humu wewe ni mtu mzima ambaye upo endowed with reasoning capacity annonimity isikufanyaje ubhve inhumanly
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Who cares?
   
Loading...