WALIMU sasa muache WOGA Dr ULIMBOKA DAMU yake ni UKOMBOZI TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WALIMU sasa muache WOGA Dr ULIMBOKA DAMU yake ni UKOMBOZI TZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, Jun 27, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walimu nanyi jipangeni wiki ijayo mgomo hakuna njia nyingine ya kudai haki UMOJA ndo UKOMBOZI igeni ya madaktari.Bravo madaktari haki huwezi ipata hivihivi pambaneni.Bungeni wabunge CCM kimya hawalaani wala hawasemi kitu hongera CDM na CUF kwa kulaani.Tamko la waziri mkuu linalengo lakuwatisha madaktari na walimu so msitishike.
   
 2. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :dance::smow:
   
 3. W

  Wellwell Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUCTA wanaliongeleaje hili la Dr. Ulimboka? Nisaidieni, maana sipati picha ya kitakachotokea baada ya unyama aliofanyiwa mtetezi wa Watanzania. Haki aliyokuwa anaipigania Dr. Ulimboka haikuwa ya madaktari tu, bali ya watanzania wote wanaohitaji huduma bora mahospitalini. SOTE TUMWOMBEE ULIMBOKA, APONE HARAKA
   
Loading...