Kama Pinda alikataa kuzungumzia swala la madaktari kwa vile liko court, JK yupo juu ya sheria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Pinda alikataa kuzungumzia swala la madaktari kwa vile liko court, JK yupo juu ya sheria?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 2, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukweli tangia nimejua mambo ya siasa sijaona serikali dhaifu na ambayo haina mwelekeo kama ya JK. Pinda alituambia juzi kuwa serikali haitatoa tamko kuhusu madaktari kwa vile swala lipo mahakamani, siku mbili baadae JK anatoa tamko, je, swala limeshatoka mahakamani? wanamdanganya nani?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Kule bungeni spika,wenyekiti wake na pm na ministers wakiwaongoza wabunge bendera wa ccm wanafanya mambo kama wapo kilabu ya mnazi kule mkuranga
   
 3. J

  Jimy P Senior Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mihimili iko mi3
  Lakini ikumbukwe Head of State hapatikani kutoka katika kila muhimili.
  Ni muhimili mmoja kati ya mi3 ndiyo una TOP (RAIS)
  1. RAIS
  2. SPIKA
  3. JAJI MKUU
  Aidha AMIRI JESHI MKUU
  Anayo mamlaka ya kuongea chochote atakachoona kinafaa , kwa maslahi ya Taifa.
  "State of emergency" situation requiring immediate action.

   
Loading...