Hisia zangu juu ya TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hisia zangu juu ya TBC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by integralboy, Jul 2, 2012.

 1. i

  integralboy Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuko wapi TIDO mhando jamani, TBC inakufa maana sijui ni nani huwa anaandaa vipindi kwenye chombo hiki cha habari,

  Sasa hivi vipindi ni vibaya havina hata mvuto kuangali, Taarifa ya habari ndo haileweki,Picha inachelewa ku desplay mpaka huwa namuonea huruma mtangazaji,.

  ni kipindi kimoja tu ndo huwa kinanifurahisha na si kingine ni ZE COMEDY ORIGINAL;,

  ninyi wezangu je?
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hawa nao washakuwa influenced na jamaa. Well siku nyingi sana siangalii hiyo TV. Iko kwenye my ignore list ya tv!!!!!!!!!
   
 3. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  TIDO MHANDO kwa sasa ni mkurugenzi wa kampuni inayochapisha mazeti ya mwananchi.
   
 4. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,601
  Likes Received: 16,556
  Trophy Points: 280
  Kisasi kibaya!
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  umenitime mkuu

  Hii TV ni balaa jingine nchini sidhani kama inajitambua kuwa ni chombo cha serikali kifupi inakera sana katika urushaji matangazo yake mfano

  1. katika kipindi hiki cha bajeti inapo onyesha taarifa zake za habari haonyeshi waziri wa upinzani kasema nini huu ni utoto na sijui kama hata wakikua wataacha
  2. mambo ambayo Rais kayasema/kayafanya katika siku husika mara hayapewi kipao mbele utashangaa habari ya Rais ni mwishoni mwishoni - hawa watu sijui vipi
  3. habari zao zinakuwa biased sana mfano mgomo wa madaktari - yaani hawasemi ukweli tofauti na vyombo vingine vya habari kama magezeti na redio
  4. etc
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  sina habari , TBCCM nlisha sahau kama bado ina bado ipo online ,
   
 7. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  tiddo muhando ajiunga ni afisa mwandamizi ......cuf
   
Loading...