CHADEMA na hoja, CCM na vijembe. Je, tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na hoja, CCM na vijembe. Je, tutafika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jul 2, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwa mara ya kwanza leo nimepata mda wa kukaa na kusikiliza bunge. Kwa kweli nimeshangazwa sana na uwezo wa kipekee wa wabunge wa CCM kutumia mipasho kujibu hoja za wabunge wa CDM. Hongereni Manyanya na Nchemba.
   
Loading...