Serikali inayojali watoza ushuru wa TRA kuliko madakitari

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Hii ndio kwel ukiwa mtoza ushuru wa TRA mishahara ni minono, cjui labda kwa sababu ni genge la walaji kwa ajil ya ndugu zao. Kwan hapo TRA hata uwe na 1st class na experience kama huna mjomba huku juu hunusi pale ikiwa ni pamoja na BOT, EWURA and the like
 
Hii nchi imeshakuwa ya mabwenyenye kama vile bunge la mabwenyenye uk linavyorithishwa watoto na ndivyo ajira na madaraka ya kisiasa tz ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom