integralboy
Member
- Jun 30, 2012
- 10
- 2
Jamani mi nakelwa na huyu mtu anaeitwa MWIGULU MNCHEMBA, Huyu jamaa ni kabila gani kwani?
Ananikela jamani, Kwanini anajidai namna hii huyu jamaa yupo tayali kuwatukana wezake bila hata kujali wala kukemewa
Hivi huyu jamaa akiwa prof, itakuwaje ana shahada tu hapo ni taabu hatuna raha,Kusema kweli mimi akisimama tu huwa nazima TV, Maana naogopa ataniaribia tu siku,
Au wanajamii mnasemaje?