Taarifa kwa madaktari wote nchini

Elishaosati

Member
Oct 31, 2010
8
5
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,

Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.

Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
 
hebu iongezee nyama hii taarifa kiongozi!nimependa kwa kuwa hamna jazba!
 
Hivi madkatari wote hua mnajuana??
Maana nina wasiwasi kina Abeid na ACP Msangi wanaweza kujifanya madaktari wakahudhuria nao
 
msimamo,mshikamano ni muhimu sana kipindi hiki.TABU YA SASA,FARAJA BAADAE
 
Kaza buti, kaza kamba, na hakuna kusalim amri, nchi yetu wote hii.
 
madaktari ni vizuri kwenda na chupa za maji --- hawakawii kurusha mabomu hawa jamaa wa dhaifu.
 
Tunaomba mkutano wenu uwe wa kutafuta suluhu ili mtuokoe watanzania wenzenu tulioachwa njia panda. Mungu awajalie busara na uvumilivu madaktari na viongozi wenu wote. Ombi letu lingine tinawaomba mfingue mjadala na serikali ili kutafuta ufumbuzi wa haraka nje ya mahakama. Ikiwezekana muwe wa kwanza Kushawishi serikali kulitazama kwanza haraka jambo hili nje ya mahakama.
 
Na kweli Mdaktari lazima mjuane kabisa ----- hawa Abeidi na ACP ni wajanja sana. Wakati wana Ufisadi Rushwa pesa zetu wanaona 900,000 ni pesa --- amajiri mwanae Ris 1 na mwenyewe wavai kuhudumia wagonjwa kama anaona kazi rahisi. Nyanya Mbovu sana JK anatishia nani.???? Maybe wale ambae wajaenda skuli.:spy: Anashanga Dk Ulimboka eti sio Serikali ??? Aisee walaniwe kweli kweli na kama sio Serikali Mungu upo.
 
[h=6]‎"Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee ma mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana" ... Dr Steven Ulimboka[/h]
 
hotuba fupi yenye ujumbe mnene
 
Back
Top Bottom