Hongereni wananchi wa ubungo kwa kupata mwakilishi makini bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni wananchi wa ubungo kwa kupata mwakilishi makini bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAMBANA, Jul 2, 2012.

 1. P

  PAMBANA Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awali ya yote niwasalimie ndugu wana JF wote, Napenda kuwapongeza wananchi Jimbo la Ubungo kwa nafasi yao ya kikatiba waliyoitumia kumchagua mbunge na kijana makini sana wa kuwawakilsha Bungeni.Naamini kwa mtizamo wangu naweza kusema kati wa wananchi waliopata mwakilishi makini bungeni ni wananchi wa jimbo la Ubungo.Kijana huyu anapokuwa akitoa michango yake bungeni anakushawishi uendelee kumsikiliza na anaijua kazi yake iliyompeleka bungeni.Ndugu wananchi tuwaombee na kuwatia moyo wabunge wanaotimiza wajibu wao vizuri bungeni bila kujali chama anachotoka.
   
 2. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,550
  Likes Received: 16,525
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli anastahili pongezi bila jazba ametoa ujumbe wake.Hongera Mnyika
   
 3. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  safi mnyika mungu akubariki hata wakikutukana shetan hawez kushnda mungu t ndie mshndi
   
 4. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hongera Mh.Mnyika...kuna watu hata kama wasipodai heshima, unawapatia kulingana busara na hekima zao.Bila jazba, hoja imejengwa na ujumbe kutolewa.
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umeona eeh
   
 6. F

  Fofader JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Akiendelea hivi tutamchagua tena! Uchaguzi wetu uko linked na performance bas!
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  J.J Mnyika ni mpiganaji wa kweli , Viva Mnyika , Viva CDM , Viva Ubungo , pamoja tutawang'oa tu hawa madhaifu
   
 8. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hakuna sijutii kukesha pale loyola kulinda kura
   
 9. C

  Chal Senior Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli...
   
 10. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa kweli huyu kijana anajua kujenga hoja hata lukuvi na magamba wengine wanalijua hilo..!
   
Loading...