Huyu mwenyekiti wa bunge jioni hii vipi, kalewa au ndiyo ukereketwa?
Funguka, si kila anaangalia TV saa hizi...
Iko hivi Mh.Joseph mbilinyi ALIKUWA ANAONGELEA ISSUE YA KUTEKWA KWA DK.ULIMBOKA alitoa mfano wa tuhuma zinazomkabili rais wa Sudan kuhusu ukiukwaji wa haki za binaadamu,kwamba,hakutumia jeshi LA SUDANI bali alitumia janjaweedi ,na issue ya Ulimboka jeshi la TANZANIA HUENDA HALIHUSIKI bali ni watu wenye silaha mithili ya janjaweedi.
mwenyekiti akaaza...ETI, mbilinyi amesema janjaweedi wapo Tanzania na ndo wamemteka Dk. ULIMBOKA......Hivyo afute kauli..LISSU akaomba kutoa taarifa...akakatawaliwa.....ilikuwa kero kama vile mwenyekiti kalewa.
Hahahha!!hafai hata kuwa katibu tarafa
<p><strong></strong>Wanajamvi huyu Mwenyekiti wa Bunge wa Kipindi cha jioni ananichefua sanaaaaa! Natilia shaka uwezo wake wa kitaaluma na hata upeo wake. Naye ni dhaifu tu au Mzembe?? Naomba mwenye CV yake atuwekee angalau tujiridhishe. Hana tofauti na Naibu Spika huyu</p>