Ushahidi wa Serikali kuhusika na Jaribio la kumuuwa Dr Ulimboka Huu Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi wa Serikali kuhusika na Jaribio la kumuuwa Dr Ulimboka Huu Hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 2, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa mjini leo, kulikuwa na jaribio la kumwibia mhindi fulani hapo nje ya barclays kwa kutumia pistol. Mwizi alizidiwa nguvu akateka taxi akatoroka nayo lakini amekamatwa maeneo ya Fire.

  Ninachotaka kusema ni kuwa Tz ukimwambia polisi kuna watu wenye bunduki wamefanya tukio ni kama kushika sehebu ya web maana radio call zitatumika polisi watajipanga hadi wahalifu wakamatwe au angalau waswake kwa nguvu.

  Tumeambiwa pamoja na waliokuwa na Dr Ulimboka kwende vituo vya polisi osterbay, sulender na central kueleza tukio, polisi hawakujali wakadai wasubiri hadi kesho yake.

  Hili pekee ni ushahidi tosha kwamba polisi walihusika maana kwa utendaji wa jeshi la polisi ambalo mimi nalifahamu sana ni kwamba kama uhalifu ni wa kutumia bunduki, msako unakuwa si wa kawaida na unaanza mara moja. Kusita kwa polisi kunaonyesha walikuwa na taarifa maana angalao wangeweka vizuizi kwa polisi waliokuwa zamu.

  Wanajamvi mnaonaje?
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  u might have a point!!
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Sawa kabisa..najana Bosi wao kathiibitisha..!
  Vox populi..vox dei
   
 4. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Dah, sijawahi kula pilau iliyowekwa maharagwe, samaki, unga wa ulezi na kisamvu ! Ingawa walisema ni pilau mm niliona ni mchanyato wa mavyakula usio na test yoyote !
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Duu!! kazi kweli kweli kwa style hiii. yaani point yako ni nini hasa?? kwa kuwa mwizi wa posta kakamatwa na watekaji wa ulimboka hawajakamatwa basi serikali imehusika???
   
 6. i

  ibange JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haihitaji degree kuelewa nilichosema. narudia, Kwa uzoefu wangu wa jeshi la polisi la Tz kwa zaidi ya miaka 15, matukio yanayoshughulikiwa swiftly ni yale ambayo yanahusisha matumizi ya silaha za moto. Ikitokea silaha ya moto imetumika, ni sawa na kumshika simba sharubu, lazima wakuu wote wa polisi hadi IGP anajulishwa na amri za msako zinatolewa hadi wahusika wakamatwe. Sasa hapa polisi wameambiwa watu watatu walikuwa na bunduki, polisi wakapuuza ambapo si kawaida. Usichoelewa ni nini?
   
 7. M

  Masabaja Senior Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona hiyo hiko wazi POLISI WAMEUSIKA NA UNYAMA ambaye hataki huyo CHIZI wa kwenda MIREMBE
   
 8. M

  MtotoWaMandela Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwabepande(Wafanyabiashara wa madini wale wa Morogoro na dereva taxi waliuwawa hukohuko, aliwekwa ndani Zombe kisha aliachiwa huru, Sasa tena Dr Ulimboka huko huko na waliomteka wanasemenaka ni Polisi haohao pamoja na kipigo chote aliweza kumtambua mmoja wa waliotesa kesho yake pale Muhimbili.Je ni wangapi ambao huwa wanatupwa huko na wanafia huko bila hata kujulikana.DAMU ZAO ZINAMLILIA MUNGU,Watanzania wenzangu tumwombe MUNGU awalipe kisasa wote wanaohusika kwa maovu hayo
   
Loading...