66% ya majadiliano ni kuboresha huduma za afya nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

66% ya majadiliano ni kuboresha huduma za afya nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Jul 2, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nimefurahishwa na ufafanuzi huu wa madaktari kwani majibu ya serikali yalijikita kwenye posho tu.
  Serikali badala ya kutekeleza mambo ya msingi yenyewe imejikita katika kutekeleza madai hewa kwa mfano posho ya uchunguzi wa maiti.
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  tunashindwa kununua ct scanner halafu tunajisifu kuongeza postmortem allowance
   
 3. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  yani tena hiyo postmoterm madakatari wanaofanya postmoterm tanzania hawafiki 10..
   
Loading...