Tanzania doctor strike escalates on torture claims | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania doctor strike escalates on torture claims

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Jun 30, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Tanzania doctor strike escalates on torture claims

  [​IMG]
  By Fumbuka Ng'wanakilala | Reuters – Fri, Jun 29, 2012

  DAR ES SALAAM (Reuters) - Doctors on Thursday stepped up their strike for better pay at public hospitals across Tanzania in a sign of solidarity with a leader of a medical group who claimed he was kidnapped and tortured by persons unknown.

  The high cost of living in Tanzania has stoked anti-government sentiment, leading to mounting pressure from public sector workers and others over the rising cost of living.

  Television images showed dozens of medical workers at Tanzania's biggest referral hospital, Muhimbili, singing "solidarity forever," as their leader, Steven Ulimboka, was brought to hospital in an ambulance for treatment.

  Ulimboka, chairman of the Medical Association of Tanzania, had called on Friday for a nationwide strike of doctors to demand better pay and working conditions, leaving many patients unattended in state hospitals.

  He told reporters he was abducted at gunpoint on Tuesday night by five men and taken to a forest on the outskirts of the commercial capital Dar es Salaam where he was beaten.

  There was no immediate independent verification of his account, but authorities promised to investigate his claims.

  "We have ordered a swift investigation to unearth the truth," Prime Minister Mizengo Pinda told parliament.

  Pinda asked military medical staff at the military hospital in Dar es Salaam to treat the many unattended patients.

  Doctors on Friday last week launched another round of strikes after talks with the government over pay and conditions collapsed, ignoring a court order to return to work.

  Health Minister Hussein Mwinyi said the doctors had rejected a 15 percent pay rise that would have increased their salary to around 950,000 shillings from 860,000 shillings.

  The doctors are demanding a salary of 3.5 million shillings.

  Doctors had suspended their previous strike in March after the president met their leaders to end the row.

  Tanzania's inflation rate fell marginally in May, but still remained in double digits at 18.2 percent.

  My take:
  Aliye report hi habari ni mposhaji mkubwa kwani anaonyesha kuwa madaktari wanagoma kwa sababu ya maisha magumu, wakati sio kweli, Ukweli ni kuwa wana sababu zaidi ya hiyo moja.
   
 2. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mambo ndo hayo
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Swali kwa Madaktari..
  Mkipewa mshahara wa millioni 3.5 lakini bila vifaa vya kutendea kazi, na kuboreshwa mazingira mtarudi kazini au hamtarudi hadi yote yatimie?.
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Yaaaaaaaaap!
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Unauliza majibu?
   
 6. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mazungumzo yatafanyika i guess kabla ya ofa yoyote na kama baadhi ya madai hayatakuwa met na deadlines za unmet claims
   
 7. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  serekali lazima ifanye yote hatuwezi kukubali hospaitals kutokuwa na dawa na vitendea kazi
  ,pamoja na maslahi ya madokta
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wanaweza uliza swali la kijinga na kipumbavu kama ili,lakini siyo wewe mkuu wangu. Nimesikitishwa sana na swali lako.
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu tusidanganyane..Mimi Mbongo kuliko hata hao Madaktari na naingia vichwani mwao. Wakipewa hata millioni 3 bila ongezeko la vifaa wala mazingira bora watarudi kazini kama kazi lakini wapewe vifaa na kuboresha mazingira bila mishahara hawatarudi kazini.. It's all Crystal clear kinachogombewa hapa ni mshahara mkubwa tu, Haya maswala ya sijui Hospital hazina hata Panadol wakati zinazouzwa Phamacy hayahusiani kabisa na mgomo.

  Madaktari walianza vibaya na sii rahisi kunishawishi mtu kama mimi. Walichotakiwa ni kuishambulia Bajeti wakaonyesha udhaifu wa utawala uliopo na jinsi gani mgao wa bajeti ya Afya ilivyokuwa hafifu, uwekezaji hafifu na matumizi ktk maswala yasiyokuwa na maana. Wakawaonyesha wananchi jinsi gani wanashindwa kufanya kazi, kutibu watu na kadhalika kiasi kwamba wananchi wajenge hisia za kuungana nao ktk madai ya mbeleni. Toka mwanzo swala hili lilikuwa political they should involve vyama vya Upinzani na asasi za haki za binadamu, Tucta na kadhalika.

  Wala wasizungumzie mishahara yao iongezwe kiasi gani isipokuwa wapige vita ongezeko la mishahara ya Wabunge, viongozi nawanasiasa wanavyojitanua na kadhalika.. Hapo wangeilazimisha serikali kupanua bajeti ya Afya, wakisha weka fungu mkononi hapo ndipo mishahara itakapo tazamwa ipande lakini sii upandishe mishahara toka bajeti ndogo ambayo haiwezi hata kukidhi mahitaji muhimu. And for that itakuwa tu vita baina ya madaktari na serikali maana tunajua kinachowauma zaidi Madaktari ni ushenzi wa wabunge kujiongezea mishahara wakati wanaenda kupiga domotindi Dodoma - Shame to all of You!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
  wanarudi bila shaka
   
 11. T

  Taso JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  How I wish Tanzania tungekuwa na press kama hii.

  Taarifa ya news agency ya kimataifa haitaki ku take any chances zinazoweza ku compromise its integrity, uwezekano ni mkubwa sana kwamba kilichoelezwa ndicho kilichotokea, lakini Reuters wanaonyesha hayo ni madai yake yeye. Wameacha wazi uwezekano kwamba daktari aliingilia nyumba ya mtu halafu mtu akachukua wahuni kumfanyia, ambao yeye daktari anawajua. Such is the true press.
   
 12. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  Bro Mkandara mbona umekazania hlo tu?
  Ngoja nikuongeze "what if question" nyingine!

  Kwanini serikali isirekebishe mazingira ya utendaji kama drs wanavyohoji?
  Kwanini hamtaki kuwatega madr kwenye angle hyo na mmekazania maslahi tu?
  Kama mnataka kuwakomoa madr msiongeze hela wala msiguse maslahi yao ya kipesa bali rekebisheni miundombinu ya afya hapo ntajitoa kuwaunga mkono drs.
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ila hii habari inamapungufu makubwa hasa katika madai.
   
 14. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kurekebisha lolote ndo mana wankomalia maslahi.
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Wanaweza kurudi kazini kwa imani kuwa serikali imeanza kuwasikiliza na baadaye swala la mazingira ya kazi na vifaa nala litshughulikiwa kikamilifu, siyo kwa viraka viraka.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kufanya jambo lolote kwa nia ya kuwakomoa madakari ni sawa na kutukomoa sisi raia kwani kinachtakiwa ni kuwafanya madakatari waipende kazi yao ya kututibu, na wawe na moyo wa kuifanya kwa ufanisi sana. Iwapo tutaanza utaratibu wa kuwakomoa kwa kuleta vifaa vya kisasa lakini bila kuboresha maslahi yao, basi tusitegemee kuwa watafanya kazi vizuri na tutakaomia ni sisi wenyewe.
   
 17. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  Bro Mkandara mbona umekazania hlo tu?
  Ngoja nikuongezee "what if question" nyingine!

  Kwanini serikali isirekebishe mazingira ya utendaji kama drs wanavyohoji?
  Kwanini hamtaki kuwatega madr kwenye angle hyo na mmekazania maslahi tu?
  Kama mnataka kuwakomoa madr msiongeze hela wala msiguse maslahi yao ya kipesa bali rekebisheni miundombinu ya afya hapo ntajitoa kuwaunga mkono drs.
  Ila kukazania tu maslahi maslahi mi naona ni propaganda za ajabu tu kuendeleza utamaduni wetu wa ajabu kuwa kila mtu anawaza pesa.....
  Tuvuke mipaka!
   
 18. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Siasa na taaluma havitakiwi kuchanganywa ni hatari sana wanachokifanya madr wetu.
   
 19. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa we Mkandara,
  Serikali imetoa ipi kati ya hizo?
  Doctors wamekataa ipi?
  Usitake kulaumu tuuu doctors bcoz uko kwenye sistim inayoleta madhara haya kwa watanzania.
   
 20. M

  Mkandara Verified User

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Shukran sana kwanza lazima nijibu kama ulivyotuuliza sisi wananchi tunaopinga Mgomo huu..

  Kwanza lazima uelewe tunaipinga serikali na tunapinga mgomo kwa sababu hakuna kati yao anayetazama maslahi ya wananchi hivyo sio swala la sisi tunaopinga bali tunatazama Watanzania walio wengi. Binafsi yangu niko huku natibiwa buree na wala hakuna hata moja linalonihusu mimi isipokuwa nina ndugu, jamaa na Watanzania wenzangu ambao wanahitaji huduma hizi.. It's not about me at all!.

  1. Kwa nisi serikali hilo ni swali la msingi na ndio maana mimi nawaunga mkono Chadema na nipo mstari wa mbele kuwatetea ktk madai yao yote japokuwa hapa napale tunatofautiana kimsimamo au kimawazo. Chadema wameweza kunishawishi mimi niwaunge mkono ktk harakati zao kwa sababu wanatazama picha kubwa ktk kutetea Uhuru haki na usawa wa Watanzania. Kwa hiyo wanachohoji Madaktari hakina tofauti na Chadema isipokuwa malengo ya Madaktari ni ya kibinafsi zaidi.

  2. Hili la kuwatega madaktari sikuelewi vizuri, ila naweza sema naelewa madai yao kuwa ni binafsi zaidi, hivyo kuwepo kwa maswala mengine ni kachumbari tu ya kuongezea uhalisia wa madai yao. Wanachotaka ni mishahara mikubwa wakati bajeti ndogo. Wewe mnsomi iunajua fika kwamba bajeti ndio kila kitu, hivyo unapoweka madai ya mishahara zaidi ina maana kile kidogo kilichopo ktk wizara ya Afya kitolewe sehemu nyingine ili kuongeza mishahara yao..

  3. Hapa pia umenikwaza maana sii mimi nayetenga bajeti ya serikali ni hao hao wasomi wenu wengine madaktari wenye PhD s zao..Chadema waliipinga Bajeti hii, lakini baadhi madaktari wetu wengine ndio hao waheshimiwa bungeni waliipitisha halafu kwa unafiki wanarudi kuunga mkono madai ya madaktari ktk bajeti mbovu ambayo haiwezi kukidhi mahitaji ya AFYA nchini. Hizo fedha za kuongeza mishahara zitatoka wapi?. Miundombinu itawezeshwa tu kurekebishwa kama tutakubaliana na mapendekezo ya bajeti ya Upinzani lakini kwa sababu za UCCM wenu mnaipinga kiushabiki tu, wakati sahani yenu inaachwa kavu halafu mnakuja ilalamikia serikali ile ile mloiweka madarakani. Huu ndio mimi huita unafiki wa Mtanzania!

  Hapa ndipo sikubaliani nanyi hata kidogo unapopingana na serikali na ukaungwa mkono na vyama vya upinzani, Tucta na wengineo huu ni mtaji mzuri lakini Madaktari wakasema hili ni swala lao hawataki ushirikiano wa Vyama wala wabunge maana sii swala la kisiasa ila ni lao wenyewe na Union yao!. Haya niseme mimi mnasema kwa nini iwe swala lao sio letu wote wakati wanakataa wawakilishi wetu kujihusisha! - How they gonna win this?
   
Loading...