Ya Vitambulisho vya Taifa kama chanjo ya mbwa

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,195
Vitambulisho vya Taifa vinanikumbusha uchaguzi mkuu wa 2010..
Kipindi hicho mgombea wa uraisi kupitia ccm alitawanya mabango yake nchi nzima hata kule kusiko fikika kwa urahisi {vijijini ndani}

nakumbuka Nyamagana ilienea mabango ya chagua Masha kwa maendeleo,kona hadi kona kuanzia buhongwa hadi mjini yaani mabango mengi kuliko kawaida.
Huko magu Limbu aliweka mabango ya kutosha mitaa yote ya Magu ilikuwa ni chagua dr.Limbu..

Inashangaza kuona mambo ya kichama yanatangazwa kiasi hiki lakini swala la vitambulisho tena vya taifa halina matangazo hata moja maeneo ya huku vijijini..
Niko maeneo ya kata viziwaziwa wilayani Kibaha,huku hakuna bango wala habari zinahusu vitambusho vya taifa,kiasi kwamba hadi swala lenyewe halijulikani miongoni mwa wananchi..

Swala hili linapewa uzito mdogo sana tena sana,na matangazo yake ni kama yale ya siku ya CHANJO YA MBWA..
Sijui tatizo liko wapi..
Nini kinasababisha mambo ya msingi katika taifa yapuuzwe huku vitu visivyo na maana sana vipewe uzito mkubwa..
 
Ni habari ya kusikitisha kwakweli jambo la msingi kama hilo halafu halipewi uzito unaotakikana kufanya watu wajue umuhimu wake
 
vitambulisho vya taifa vinanikumbusha uchaguzi mkuu wa 2010..
Kipindi hicho mgombea wa uraisi kupitia ccm alitawanya mabango yake nchi nzima hata kule kusiko fikika kwa urahisi {vijijini ndani}

nakumbuka nyamagana ilienea mabango ya chagua masha kwa maendeleo,kona hadi kona kuanzia buhongwa hadi mjini yaani mabango mengi kuliko kawaida.
Huko magu limbu aliweka mabango ya kutosha mitaa yote ya magu ilikuwa ni chagua dr.limbu..

Inashangaza kuona mambo ya kichama yanatangazwa kiasi hiki lakini swala la vitambulisho tena vya taifa halina matangazo hata moja maeneo ya huku vijijini..
Niko maeneo ya kata viziwaziwa wilayani kibaha,huku hakuna bango wala habari zinahusu vitambusho vya taifa,kiasi kwamba hadi swala lenyewe halijulikani miongoni mwa wananchi..

Swala hili linapewa uzito mdogo sana tena sana,na matangazo yake ni kama yale ya siku ya chanjo ya mbwa..
Sijui tatizo liko wapi..
Nini kinasababisha mambo ya msingi katika taifa yapuuzwe huku vitu visivyo na maana sana vipewe uzito mkubwa..

simple tu; kwenye vitambulisho vya taifa serikali haina mpango endelevu wa kuendelea kuibia nchi baada ya hapo ukilinganisha na siasa ambapo wizi unaendelea. Yaani ni mradi ambao malipo yake ni kiduchu ndio maana yake..serikali nchi hii imekali kuiba tu hakuna cha maana.
 
Vitambulisho vya Taifa vinanikumbusha uchaguzi mkuu wa 2010..
Kipindi hicho mgombea wa uraisi kupitia ccm alitawanya mabango yake nchi nzima hata kule kusiko fikika kwa urahisi {vijijini ndani}

nakumbuka Nyamagana ilienea mabango ya chagua Masha kwa maendeleo,kona hadi kona kuanzia buhongwa hadi mjini yaani mabango mengi kuliko kawaida.
Huko magu Limbu aliweka mabango ya kutosha mitaa yote ya Magu ilikuwa ni chagua dr.Limbu..

Inashangaza kuona mambo ya kichama yanatangazwa kiasi hiki lakini swala la vitambulisho tena vya taifa halina matangazo hata moja maeneo ya huku vijijini..
Niko maeneo ya kata viziwaziwa wilayani Kibaha,huku hakuna bango wala habari zinahusu vitambusho vya taifa,kiasi kwamba hadi swala lenyewe halijulikani miongoni mwa wananchi..

Swala hili linapewa uzito mdogo sana tena sana,na matangazo yake ni kama yale ya siku ya CHANJO YA MBWA..
Sijui tatizo liko wapi..
Nini kinasababisha mambo ya msingi katika taifa yapuuzwe huku vitu visivyo na maana sana vipewe uzito mkubwa..

Mbona wamejieleza vizuri kwenye kipindi cha power break fast kwamba wanaanza na Dar es Salaam halafu watakwenda kwenye mikoa mingine kwa awamu! Wakifika kwenye mkoa wako utawaona matangazo tu.
 
hivi hapa dar kuna haya matakazo??? Mim nilipo rudi jana nikasikia walipita kuandikisha sasa sijui watarudi tena au ndio imetoka??
 
Nafikiri watanzania huangalia siasa za uchaguzi tu, ndio maana hata wapinzani wamekuwa kimya kuhusu hili. Wanaiachia serikali na wao wabaki kulaumu tu!
 
Mbona wamejieleza vizuri kwenye kipindi cha power break fast kwamba wanaanza na Dar es Salaam halafu watakwenda kwenye mikoa mingine kwa awamu! Wakifika kwenye mkoa wako utawaona matangazo tu.

mbona tarehe zinazotangazwa ni za taifa zima,ikoje hii mkubwa?
 
Back
Top Bottom