Wanaotaka serikali 3 zamuungano,wanatupeleka kuzimu; Mkuchika

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Bungeni LIVE,

Chiligati amesema serikali 2 ndio muundo bora kabisa, pia akasisitiza wanaotaka serikali 3 wanatupeleka kuzimu. Naona serikali sikivu wameweka msimamo wa serikali 2 rasmi na inatisha.
 
Sasa mchakato wa kutafuta katiba mpya ni wa nn?
Atoe maoni yake binafsi kwa Tume kama Bw Mkuchika.
 
Shamsi vuai; Hotuba ya lissu imejaa hadaa, ulaghai kwa watu wa zanzibar,

Hotuba ya lissu haikuleta mapendekezo ya nini kifanyike, zaidi ametoa kasoro. Amesema, kwa maoni yake VUAI anapendelea muundo wa serikali 2 na si vinginevyo
 
Tume ya Katiba binafsi naungana na Mkuchika ktk hili. In fact, hapa ndo ninapotofautiana na Zito maana yeye (sina uhakika kama ni msimamo wa CDM) anataka serikali 3
 
Shamsi vuai; Hotuba ya lissu imejaa hadaa, ulaghai kwa watu wa zanzibar,

Hotuba ya lissu haikuleta mapendekezo ya nini kifanyike, zaidi ametoa kasoro. Amesema, kwa maoni yake VUAI anapendelea muundo wa serikali 2 na si vinginevyo

Shamsi Vuai akawaambie hayo maneno UAMSHO.
 
Sasa si mnaona mawazo ya decission makers! Mnafikiri mawazo ya wengi hata kama ni serikali 3 yataheshimiwa?
 
Mkuchika ana wasemea watanzania kama nani?

Tusubiri maoni ya watu sio kuchakachua kabla
 
Bungeni LIVE,

Mkuchika amesema serikali 2 ndio muundo bora kabisa, pia akasisitiza wanaotaka serikali 3 wanatupeleka kuzimu. Naona serikali sikivu wameweka msimamo wa serikali 2 rasmi na inatisha.

Siyo mkuchika ni chiligati pole usipende kukurupuka
 
Without virsion people perish! We lack charismatic leaders! Wange comment tusubiri mapendekezo ya katiba mpya! Cyo hivy
 
Mwanasheria mkuu; Lissu ni mpotoshaji, anashauri lissu asome maandiko ya prof.Kabudi, Mwakyembe na wengineo sio prof.Shivji pekee. Anasisitiza ni sahihi znz kutamka neno nchi katika katiba ya zanzibar, kwa kuwa ili muungano upatikane, lazima nchi ziwepo.
 
huyu mkuchika huwa simuelewi kama anatumia bange au anatakiwa kuwa kwenye ile hosp maalum karibu na huko anakoongelea!!!
nadhani wote wawili (vuai na mkuchika) hawajielewi, hawajui maana ya democrasia wala hawajui kwamba akili kubwa za wanananchi ndio zina maamuzi ya mwisho!!! wasubiri wataisoma tuu...........
 
Ni Chiligati mkuu sio Mkuchika. Nadhani ni kuzeeka vibaya kule, na ndio shida ya magamba.
 
Werema kwa jinsi alivyosema swala la Tundu lissu kumtumia Prof Shivji ni kama dharau kwa kusema Prof Shivji eti hajasoma Katiba hivyo wawasome akina Prof.Kabudi, Mwakyembe.
Hatuna Mwanasheria pale ni haki wanapotosha Watanzania ni lini Wasomi wetu watakuwa wakweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom