Wabunge Wachovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Wachovu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KML, Jul 4, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika wabunge wachovu nafikili wabunge wa Tz ni wachovu sana, kwanza wana mikwara mingi kuliko vitendo
  kinachoniudhi mimi sasa, wanajua kusimama na kukalipia sana na kujifanya wanatetea maslahi ya wananchi, badae utasikia Tunaunga mkono kwa asilimia mia (100%)
  sa sijui niwaiteje machizi au???? especialy mibunge ya chichiemu
   
Loading...