There is no way out: Just do it... wakamateni tu yaishe

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
I know, I mean I know the government is looking for way out; on how they gonna spin this one off. Well, there is no way out. The security agents who assaulted Dr. Ulimboka must be arrested and charged for attempted murder. This is the only way to show that the government did not sanction the assassination attempt. The longer the government is taking to arrest the suspects the deeper the deception web of lies they tangling themselves in. Ultimately, they will have to come out somehow.

The only other way out is to never come out and hence conforming with absolute certainty that the assault was sanctioned by the state. It doesn't make any sense that it has taken our "so able security agents" over seven days to figure out who "did" it; unless they can't face the truth.. and the truth my friends will still come out. Some people know who did it and what happened to the finest details is well known. So, why not just DO IT!?

I'm more worried that the chain of involvement in this episode runs long and the weaving net of 'who knew what' is wider and it is almost impossible to arrest ONE without arresting the "OTHER"....
 
Plan A yao ilijulikana, sasa wanatafuta plan B, lakini mwisho wa siku ukweli utajulikana tu hata ipite karne.
 
Hawana ubavu wakujikamata. Haiwezekani kfanya lolote zaidi ya kuja na maelezo kwamba ni wahuni ndio waliofanya hivyo! Si umesikia yule fuska wa ccm ambaye kapewa ukuu wa mkoa kwa kukata uno alivyoropoka mjengoni?? Hawana la ziada na hawatafanya lolote maana ni kawaida ya serikali hii kuua!
Ulimboka is lucky to be alive!
 
Kukata uno wapi? Makubwa!!! Siku hizi kukata uno ni sehemu ya CV ya kupata ukuu wa mkoa?? Kama ni hivyo wanamziki mbona hawapwi hata ukku wa kata?? Au kiuno hiki kinakatwa wapi?? Kwenye sherehe ya kitaifa au???
 
Haaahaaa! I just keep my eyes wide and open. Sijui ngoja usikilize hadithi zitakavyoletwa hapa....
 
Jamani nataka kuuliza swali..
Hao Wabunge wa CCM wanaodai kwamba Chadema inahusika kwa madai ya kuwa WALIOMTEKA Dr.Ulimboka walivaa magwanda kama ya Chadema. Je, hawa wabunge walikuwepo hadi wanajua haya? na walizipata wapi taarifa hizi ikiwa hadi sasa hivi taarifa za Polisi hazijathibitisha wahusika wenyewe na wala hii sii taarifa za bunge?.

Hivi kisheria hawa Wabunge hawawezi kubanwa kueleza wamezipata wapi taarifa hizi, tofauti na madai ya Chadema ambayo askari wetu wa jeshi la Usalama ametambuliwa na kuhusishwa na victim mwenyewe?
 
Kukata uno wapi? Makubwa!!! Siku hizi kukata uno ni sehemu ya CV ya kupata ukuu wa mkoa?? Kama ni hivyo wanamziki mbona hawapwi hata ukku wa kata?? Au kiuno hiki kinakatwa wapi?? Kwenye sherehe ya kitaifa au???
Mama Mdogo, wanavikata kwelikweli muulize simbachawene wakati anakatwa mkono wake alikuwa wapi na wife wa mtu,??
 
Last edited by a moderator:
Kama waliweza M-KOLIMBA marehemu(RIP)HOLACE na wakaa mzungu wa nne bila explanation yoyote itafuja hii ya ULIMBOKA.Hapa tatizo kwao ni timing ya kuwepo session ya bunge otherwise wange-spin off without any hassle.

Tatizo letu ni katiba,rais ana madaraka makubwa mno.Tuyapunguzeni katika mchakato huu ulioanza,huwezi mteua mkuu wa mkoa ambae tayari ni mbunge tena wa viti maalum,that is an abuse of power,full stop
 
Jamani nataka kuuliza swali..
Hao Wabunge wa CCM wanaodai kwamba Chadema inahusika kwa madai ya kuwa WALIOMTEKA Dr.Ulimboka walivaa magwanda kama ya Chadema. Je, hawa wabunge walikuwepo hadi wanajua haya? na walizipata wapi taarifa hizi ikiwa hadi sasa hivi taarifa za Polisi hazijathibitisha wahusika wenyewe na wala hii sii taarifa za bunge?.

Hivi kisheria hawa Wabunge hawawezi kubanwa kueleza wamezipata wapi taarifa hizi, tofauti na madai ya Chadema ambayo askari wetu wa jeshi la Usalama ametambuliwa na kuhusishwa na victim mwenyewe?

Mkandara sio tu wabunge, hata serikali pia. Stella Manyanya ni mkuu wa mkoa, hivyo yuko upande wa serikali na amekuwa mtari wa mbele kutaja aina ya mavazi waliyokuwa wamevaa watu waliomteka Dr Ulimboka.
 
Kauli za Mizengo Pinda siku zimekuwa zikiiweka serikali on the defensive mara kwa mara, je ana competency issues?
  • wakati EPA imeshika kasi na kauli yake kuwa HAWA NI WATU WENYE NGUVU SANA, SERIKALI ITAYUMBA
  • Wakati wa sakata la Zanzibar si NCHI
  • Wakati wa sakata la Maalbino hadi kutoa CHOZI
  • Wakati wa sakata la Jairo na kauli yake ya NINGEKUWA MIMI
  • Wakati wa sakata la kupandishwa posho za wabunge aliungana na spika baadaye bosi wao akaruka
  • Sasa hivi kauli yake ya LIWALO NA LIWE inaonekana kuashiria wazi kuwa serikali na hasa WM alijua nini kimemtokea kiongozi wa madaktari
Serikali has a million ways kujitoa "hata kama ilihusika". Tatizo ni competence na ujasiri wa kufanya hivyo!
 
Mkandara sio tu wabunge, hata serikali pia. Stella Manyanya ni mkuu wa mkoa, hivyo yuko upande wa serikali na amekuwa mtari wa mbele kutaja aina ya mavazi waliyokuwa wamevaa watu waliomteka Dr Ulimboka.
Unajua wakati mwingine mimi hufikiria tofauti kabisa na wadanganyika. Hii picha hata siielewi kabisa maana naona watu wanajifunga wenyewe.

Halafu, amini maneno yangu niloposema PR ya madaktari mbovu, maana nilipinga mgomo wa Madaktari lakini hii ya Ulimboka ni sababu kubwa sana kwangu kufanya mgomo kuliko zote zilizopita maana mazingira ya kazi ndio haya tunayozungumzia. Hii ni sababu kubwa kwetu sisi wananchi wote, vyombo vya haki za binadamu na vyama vya kisiasa kuandaa maandamano makubwa ya kitaifa kupinga mauaji haya.
Yaani kama kuna siku ya watu kutokwenda makazini na kulianzisha basi ni mauaji kama haya ndio huanzisha machafuko nchi nzima..Kesi hii ifikishwe ktk vyombo vya kimataifa haraka iwezekanavyo na sisi wananchi tusikae kulalama hapa JF tutafute majibu kwa nguvu zote..
 
Unajua wakati mwingine mimi hufikiria tofauti kabisa na wadanganyika. Hii picha hata siielewi kabisa maana naona watu wanajifunga wenyewe.

Amini maneno yangu maana nilipinga mgomo wa Madaktari lakini hii ya Ulimboka ni sababu kubwa sana wangu kufanya mgomo kuliko zote zilizopita maana mazingira ya kazi ndio haya tunayozungumzia..Hii ni sababu kubwa kwa sisi wananchi, vyombo vya hak za binadamu na vyama vya kisiasa kuandaa maandamano makuhbwa ya kitaifa kupinga mauaji haya..

Keis hii ifikishwe ktk vyombo vya kimataifa haraka iwezekanavyo na sisi wananchi tusikae kulalama hapa JF tutafute majibu kwa nguvu zote..

Kule Serengeti aliuwawa mtalii toka Holland, wakatoka mawaziri wawili bungeni na Helcopter mpaka Serengeti na ndani ya masaa 24 watu wamekamatwa. Huko ni mbugani, lakini Dar ambapo Dr Ulimboka ametoa maelezo ya awali ambayo yangeweza kabisa kusaidia kukamata wahalifu mambo yako kimya. Ungeangalia kikao cha jana bungeni ungepatwa na pressure, wabunge wa CCM wametumia nguvu kubwa sana kuzima issue ya Dr Ulimboka. Lakini wasilojua ni kwamba sasa hivi wananchi wanapatwa na hofu kila wakiona askari. Huna uhakika kama unakamatwa wewe!
 
Let see and wait what they will tel us about findings! I know they will fake us as they always do in important issues!

They took three days to arrest the murder of tourist but to Ulimboka nothing they have found now, can you imagine?

This how they are planning to fool us!
 
I know, I mean I know the government is looking for way out; on how they gonna spin this one off. Well, there is no way out. The security agents who assaulted Dr. Ulimboka must be arrested and charged for attempted murder. This is the only way to show that the government did not sanction the assassination attempt. The longer the government is taking to arrest the suspects the deeper the deception web of lies they tangling themselves in. Ultimately, they will have to come out somehow.

The only other way out is to never come out and hence conforming with absolute certainty that the assault was sanctioned by the state. It doesn't make any sense that it has taken our "so able security agents" over seven days to figure out who "did" it; unless they can't face the truth.. and the truth my friends will still come out. Some people know who did it and what happened to the finest details is well known. So, why not just DO IT!?

I'm more worried that the chain of involvement in this episode runs long and the weaving net of 'who knew what' is wider and it is almost impossible to arrest ONE without arresting the "OTHER"....

Mwanakijiji, all Dr. Stephen Ulimboka had to do was to betray the cause the doctors were fighting for by letting these government thugs record him admitting that their strike was politically motivated. They never banked on Dr. Stephen Ulimboka, inspite of all that pain, not succumbing to their evil plan. It is obvious to any right thinking individual that this kind of torture is not something new, it is the way this oppressive government operates to try to silence voices of dissent.

But things didn't work out the way they had planned, they never reckoned with the courage of one individual going by the name Dr. Stephen Ulimboka. Let us just take a little time and ask ourselves, how many of us would have saved themselves the pain of having their teeth and nails plucked out with a pair of pliers just by admitting and in so doing incriminating, for instance, an opposition party?
There is a rumour that ACP Ahmed Msangi (pictured), the Dar es Salaam Special Zone Crime Officer, who we were told, should be leading the investigation has gone underground...hiding? This was after he is alleged to have been recognized by the victim as part of the government squad that carried out the abduction and inflicted such barbaric acts of torture. Under normal circumstances this is the man that should be giving us press releases on progress made so far but...

Right now, if things had but worked out the way these thugs planned, the government would have benefited in a very big way. The propaganda and lead story from every govt mouthpiece such as TBC, Habari Leo and such, would have been the confession of Dr. Stephen Ulimboka that he was just used by people who want to bring the govt down. I hope you did listen to the Bunge session where allegations were made that Chadema was behind the doctors' strike.

I am one hundred percent sure that had Dr. Stephen Ulimboka given in, he would still have his teeth and his nails intact. People like him are hard to find and our evil, short sighted and weak leadership never once reckoned with the kind of courage he showed. As Mwanakijiji suspects a very unusual development took place that spared the life of this courageous doctor...however it is now out of their hands and even all the perfumes of Arabia wont clean the government's bloody hands.
 
Hawana ubavu wakujikamata. Haiwezekani kfanya lolote zaidi ya kuja na maelezo kwamba ni wahuni ndio waliofanya hivyo! Si umesikia yule fuska wa ccm ambaye kapewa ukuu wa mkoa kwa kukata uno alivyoropoka mjengoni?? Hawana la ziada na hawatafanya lolote maana ni kawaida ya serikali hii kuua!
Ulimboka is lucky to be alive!

Ni udhalilishaji wa kijinsia. Kukata uno ndo Kapewa urc, ila kwa mwanaume sawa tu ehh.
 
Kukata uno wapi? Makubwa!!! Siku hizi kukata uno ni sehemu ya CV ya kupata ukuu wa mkoa?? Kama ni hivyo wanamziki mbona hawapwi hata ukku wa kata?? Au kiuno hiki kinakatwa wapi?? Kwenye sherehe ya kitaifa au???
Duh! Mama Mdogo kwa kujifanya hujui mambo! waulize wenyewe ilitokeaje.
 
Back
Top Bottom