Wanachama Wa ccm waandamana mkoani Mwanza

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,558
7,156
Wanachama wa chama cha Mapinduzi ccm wameandamana mkoani Mwanza kupinga mgomo Wa madaktari unaoendelea hivi sasa hapa nchini mwetu na kuwataka madaktari waache migomo na kurudi kazini kwa ajili ya uwajibikaji kwa Watanzania wanaongamia kwa sasa kutokana na mgomo wao(Madaktari)

Soosss!
Star Tv Mwanza.
 
Kwani wabunge wao plus CUF si wanasema mgomo umekwiasha?
Sasa wanaandamania nini ambacho hakipo?
 
Hao wapuuzi wanapaswa kutambua kuwa madaktari hawawajibiki kwa wanachama wenye akili dhaifu toka CCM, njaa zao wapeleke huko kwenye lichama lao lililojaa madhaifu kibao.
 
Kwani mgomo bado upo?......wenyewe wana ccm si washasema mgomo umeisha?
 
Kwani wabunge wao plus CUF si wanasema mgomo umekwiasha?
Sasa wanaandamania nini ambacho hakipo?

Hawa wapuuzi kweli kweli, sijui wanachama na wapenzi wa CCM wakoje? Wana akili fupi sana. Na waliofunga nao ndoa ndio wajinga kabisa. Nasikitika kuwa mtanzania.
 
Hao wapuuzi wanapaswa kutambua kuwa madaktari hawawajibiki kwa wanachama wenye akili dhaifu toka CCM, njaa zao wapeleke huko kwenye lichama lao lililojaa madhaifu kibao.

Kali kuliko zote hilo li serikali lao la kidhaifu eti limeifanya hospitali ya lugalo kuwa hospitali ya rufaa yaani wadhaifu wanashauriana wenyewe kwa wenyewe afu wanatoa maamuzi ya kidhaifu then wanajipigia makofi kuwa wameshinda!
 
Lini wataandamana kupinga wagonjwa kulazwa wawiliwawili kitanda kimoja na wengine kulundikwa sakafuni?! Hapo sijagusia vifaa na ukosefu wa madawa!
 
suala liko mahakamani na spika kakataza kuwa iachiwe mahakana, je hawa hawaelewi kuwa amri ya mahakama inapashwa kuheshimiwa?CCM kwa kujipendekeza? huku wakiacha itikadi yao ya mwanzo ya kujali wanyonge na kukumbatia wachache eti ni matajiri uchumi utatingishika, huku wakiifyonza nchi kwa ufisadi.CCM iache ghiriba, wahangaikie masuala ya msingi .Huko huko mwanza, bei ya pamba imeteremka nusu ya bei kutoa t.shs 1200/= kwa kilo mpaka t.shs 600/=kwa kilo; mbona hawajandamana?je gharama za kilimo cha zao hili mwaka jana mpaka mwaka huu nazo ziliteremka?ubabaishaji huo
 
magamba wanahaha sana..wameshakana mgomo haupo...sasa kinachowaandamanisha ni nini..au nao maandamano yao NI UPEPO TU UTAPITA
 
akili ndogo kuzid akil kubwa wamechelewa sijui wametoka wapi duu hv bado kuna ccm aliyebak kipind hiki
 
Au labda wanaandamana kuzuia usitokee mgomo mwingine, teh teh teh!!!

Hahahaha labda asee manake wenyewe kwa nguvu zao zote wamesema kwa sasa hali ni shwari , mgomo hakuna afu hao hao tena wanaandamana...lol huoni ni kichekesho WISDOM SEEDS ???
 
Last edited by a moderator:
Al shabab walikuwa wapi? kama wange wafanyia hao magamba kitu mbaya leo ndio ingekuwa siku ya yangu ya kwanza kuwapa credit ya ukamanda!
 
Back
Top Bottom