Serikali ya zanzirar haitalipa garama za makanisa yaliyochomwa znz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya zanzirar haitalipa garama za makanisa yaliyochomwa znz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Jul 4, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hayo yamesemwa bungeni na waziri wa muungano Samia suluhu Hasan.
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kasema wanaotakiwa kulipa ni wale waliochoma je? Hao waliochoma wapo?
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Waliochoma wapo ila swali la kujiuliza ni kama wanaweza kulipa!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni kawaida yake kukurupuka. Shein alishasema serikali italipa.
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wamezoea kulipiwa!
   
Loading...