Wabunge wetu hawapo siriazi na bunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu hawapo siriazi na bunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wagaba, Jul 7, 2012.

 1. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 659"]
  [TR]
  [TD] [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 449"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"] [h=2]Spika Makinda awatibua wabunge Yanga, Simba[/h] [h=2] [/h] [h=2]na Martin Malera, Dodoma[/h] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140"] [h=2] [/h] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"] [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 449"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"] [h=2]SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muugano, Anna Makinda, jana aliwatibua wabunge wa Yanga na Simba baada ya kuwapiga stop kwenda jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi yao ya leo.[/h] [h=2]Akizungumza ndani ya ukumbi wa Bunge, Spika Makinda alisema hakuna mbunge atakayeruhusiwa kuondoka Dodoma kabla ya kupitisha Bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, iliyowasilishwa juzi na Waziri wake, John Magufuli.[/h] [h=2]“ “Hata wabunge mnaotaka kwenda Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wenu wa wabunge wa Yanga na Simba maana kuna hatari ya kukwamisha Bajeti kama kolam ya wabunge haitatimia,” alionya Makinda.[/h] [h=2]Wakati akitoa tangazo hilo, wabunge zaidi ya 50 ambao ni wachezaji wa Yanga na Simba, walishafika katika viwanja vya Bunge tayari kwa kuanza safari ya kwenda Dar es Salaam.[/h] [h=2]Wabunge hao wameeleza kukerwa na amri hiyo kwa hoja kuwa, itaathiri mechi yao kwani sasa wataondoka, lakini wakipanga kuondoka jana usiku kwenda jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi hiyo.[/h] [h=2]“Tukiondoka alfajiri ya leo, tutafika tukiwa hoi na mechi haitakuwa nzuri,” alisema mbunge mmoja ambaye aliomba jina lihifadhiwe. Bunge limekodi magari mawali kwa ajili ya wabunge na wachezaji wa kila timu.[/h] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Source: Tanzania Daima

  Hivi kweli wanataka kulazimisha kwenda Dar huku hawajamaliza kiporo chao!
  Ndo value for money hii - shs. 10,000,000/=!

   

  Attached Files:

 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Serikali dhaifu huongozwa na viongozi dhaifu.
  Kwa kumbukumbu yangu sikuwahi kkumsikia rais wa Kwanza wa Tanganyika akienda hata uwanjani kuangalia mechi. Rais tuliyenaye duh! Mnajua tabia zake nisiongee mengi, ulitegemea rais wa hivyo awe na viongozi wa aina ipi. Hawezi hata kukemea,
   
Loading...