Njaa na Propaganda mbaya itatula siku si nyingi kwanini hatuandiki ukweli wa nchi hii??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njaa na Propaganda mbaya itatula siku si nyingi kwanini hatuandiki ukweli wa nchi hii???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 7, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Leo katika magazeti mengi hasa yenye njaa na propagandaza serikali likiongozwa na Habari Leo wamedai madaktari wamefika Wizara ya afya kwa wingi na wamegakiwa kujieleza kwanini wamegoma na watajibiwa ndani ya siku saba.

  Hoja yangu

  Kwa kuangalia juuu juu utajiuliza madaktari bingwa au madaktari (MD) walio na leseni? Hapana kumbe hawa ni INTERNS ambao waliyakiwa kurudi kwa mwajiri wao ambaye ni wizara ya afya. Kwa jina lingine hawa ni vidagaa wa migomo ambao hawana uwezo na ruhusa ya kutibu bila ya idhini ya daktari ambao ndio wasimamizi wao mahospitalini.

  Kwanini tusiandike ukweli na raia wanakufa kwa kukosa huduma?? Au ndo LIWALO NA LIWE?
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Serikali dhaifu hii
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kwa ajili ya propaganda wameacha kuwaita madaktari mafunzoni,unaambiwa Amri jeshi Mkuu kashinda uwanja wa sabasaba jana IKULU anapaogopa tangu saa mbili mpaka saa kuminamoja hata maji hakunywa
   
 4. C

  Cassian Lucas Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magazeti mengi yanaogopa kuandika ukweli swala la Ma Dkt, waandishi wengi wana muogopa 'Msangi' na 'Abel'
   
 5. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Iko siku nayo i karibu
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Propaganda zinzoendelea sasa zinaiabisha serikali sana. Ni sawa na mtoto kufunika uso kwa kiganja cha mkono huku akijidai kuwa huwezi kumuona.

  Hakuna mkato kwenye huu mgogoro, serikali must grow up and deal with the reality. Kuendelea kupiga kelele za kitoto kwenye vyombo vya habari ni kuzidi kujidhalilisha kuwa hakuna mtu mwenye busara au/na nia ya dhati ya kuboresha huduma za afya.
   
Loading...