Samwel Sitta awa PM wa Muda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samwel Sitta awa PM wa Muda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Jul 6, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Pinda amesafiri, shughuli za waziri mkuu zinatekelezwa na 6
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Spika anne makinda amemtangaza samwel sitta kukaimu nafasi ya waziri mkuu bungeni kufuatia waziri mkuu pinda kupata safari, ambayo spika hajaeleza kaenda wapi na kufanya nini. Nawasilisha
   
 3. k

  kindboy Senior Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hatakuwepo mpaka next friday so sita ata kaimu pia maswali ya papo kwa papo .searching.........
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  kaenda songea kupeleka mafuta ya tanesco,hakuna umeme wiki sasa kisa mafuta ya kuendesha mitambo!its very shame for ccm
   
 5. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Waziri mkuu ameenda South Africa anaumwa mafua.
   
 6. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Kaenda kufanya chekapu ulaya, wakati anaondoka kasema mgomo wa madkatari serikali imajipanga yeye haendi kutibiwa anakwenda kuafanya chekapu tu ulaya.
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Angebakia huko alikoenda kwa muda wote wa bunge.
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  apewe nafasi hiyo alhamis siku ya maswali ya papo kwa papo.
   
 9. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Mwana wa mkulima yuiko songea kwa siku 2 kikazi
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  ataiumbua ccm maana sitta naye haaminiki.!
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hahaaaaaa!! Huna nia njema na ccm. 6 ni wa viwango mkuu
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo naye atalipwa posho ya kiuwaziri mkuu?
   
 13. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Eddo alipokuwa anajivua u PM alisema tatizo ni uwaziri mkuu!.. sasa ni mara zaidi ya pili kwa mzee Six kukalia hicho kiti, kuna mawaziri wangapi? wangapi tena toka wizara moja na Pinda wapo na wangeweza kumwakilisha vema tuu, napata picha waziri mkuu alietakiwa toka mwanzo ni Six, ila Eddo alitumia nguvu na kujuana na Dhaifu kupata u PM.
   
 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  bora angeichukua nafsi hio moja kwa moja
   
 15. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ulimboka!!!!
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  liwalo na liwe
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  na Mhogo Mchungu akirudi kwenye kiti chake 6 anakula pension ya u-pm mstaafu.
   
 18. m

  majebere JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  angechukua wabunge wa CDM wangeingia bungeni wamevaa nepi,maana watakua wamebanwa mavi muda wote
   
 19. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kaenda Songea kupewa Mbuzi na Ng'ombe ambao watachangishwa wana vijiji kwa nguvu.
   
 20. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Nasikia kuna tetesi kuwa kaumia
   
Loading...