Karibu Kumchangia Dr Ulimboka Kupitia Tigo Pesa, M-Pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu Kumchangia Dr Ulimboka Kupitia Tigo Pesa, M-Pesa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 6, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watanzania wengi ikiwemo wana JF tunampenda sana Dr Ulimboka na tunaunga mkono "his cause". Tunajua matibabu yake ni ghali na familia yake pia inapata shida. Ili kuwapa moyo wapigania haki wengine, tumchangia fedha ya kutosha ili tutume ujumbe wa kutosha serikalini. Tunawaomba jumuiya ya madaktari wafanye arrangement ili tuanze kuchanga.

  Mungu Mbariki Dr Ulimboka, familia yake na wapigania haki Wengine
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kutekwa kwa ulimboka kumeanza kuwa deal .....kaa chonjo na matapeli mara nyingi waanaanza na lugha za huruma kisha majuto.
   
 3. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama Mtoa hoja anataka kuchngisha yeye, ila anapendekeza watu wakaribu na Ulimboka na hasa hao madaktari walijitolea mpaka sasa kumpeleka SA waone umuhimu kuwahusisha waTanzania wengine kuchangia matibabu.
   
 4. D

  Don The Great Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Yes indeed,tuisaidie familiya yake as much as we can kwa chochote tulicho nacho.

  Number za uwakala ni kama zilivyotolewa before

  1. M-Pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela
  2. Tigo Pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.
  3. For those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic Bank Tanzania
  Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX
   
 5. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i concur with you mtoa maada kuna maelezo yalitolewa awali nita ya paste hapa jamvini

  Jamani matibabu kweli ni kitu endelevu hivyo michango yenu ni muhimu sana wanajamvi
  Tumsaidie mwanaharakati wa kweli aliyenusurika kutolewa uhai wake na hili Genge la majambazi linaloongozwa na JANGA LA KITAIFA
  KUTOA NI MOYO
  TUTOE WALE TULIOGUSWA
   
 6. K

  Kapeleka Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kutoa ni moyo, ila hekima na busara vinatumika kabla ya kuamua kutoa ama kutotoa. Ni kweli Dr. Ulimboka anahitaji msaada, sasa:
  1. How can we justify that kweli anahitaji msaada wa pesa tu na wala si dua, sala na maombi, faraja nk?
  2. Kuna uhakika gani kuwa number na account zilizotolewa kweli zitapeleka hela kwake?
  3. Kwani ndiye pekee mtanzania mwenye kuhitaji msaada wa pesa za matibabu? Wahanga waliokwisha kufa, (Mungu awaweke mahala pema...), waliooza miguu, matumbo, wanawake wajawazito waliopata mateso, wagonjwa wa kansa pale ocean road, ambao hali zao zimekuwa haziwezi kutibika tena kwa sababu ya mgomo wa madaktari, mbona hatukuwachangia waende hospitali binafsi wakatibiwe?

  Naamini kuwa kweli Dr. Ulimboka anahitaji msaada, si pesa tu, faraja, dua, sala, na kutiwa moyo, lakini tuelewe kuwa mgonjwa anapopewa rufaa ya kwenda kutibiwa nje, na madaktari aidha, bima, serikali ama shirika lake vinamgharimia, na yeye kama mtumishi wa serikali ana bima, na sasa serikali imewapa Green Cards. Tukumbuke pia kuwa Mwandosya, Mwakyembe, nk walipata shida na wakaenda nje, sikumbuki km tuliwachangia kitu.

  Tumekuwa kukiwaona wasio katika makundi hayo wakitembeza form za michango kwenda India, nk kuitibiwa na siyo mtu kwenda huko alafu aombe msaada, tuwe macho wasiliamali ni wengi
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Naona sasa watu wanatafuta mitaji
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,274
  Trophy Points: 280
  Hiyo namba ya simu nani anaimiliki??
  Kufa kufaana,

  Wengine wako mahututi S. A,
  Wengine wako Wanapiga dili TZ
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kutoa ni hiyari kama unaona number hizo ni za matapeli usichange lakini usishawishi watu wengine period
   
 10. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama huna imani usitoe
   
 11. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Msangi kazini
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  vapour of the highest order! usitutafutie ban kinguvu!
   
 13. T

  Takbira New Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  achangiwe tu kama michango itamfikia mlengwa, ameteseka kwa kweli na familia ipo ugenini, chama cha madaktari kifuatilie hili
   
 14. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  we kenge maji nini? hujisikii kutoa basi kaa kimya
   
 15. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,672
  Trophy Points: 280
  We ndiyo mkusanya pesa nini mbona unajifanya mkali wakati hata kutoa pesa hutotoa....pamb...f.
  Kila mtu anauhuru wa kutoa mawazo yake huku jamvini.
   
 16. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Toa ndugu,toa ndugu ulichonacho bwana anakuona mpaka rohoni mwako!
   
 17. b

  bantulile JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,439
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Usiseme jumuia ya Madaktari pekee yao hata mimi sio Daktari lakini ningependa kumchangia.
  Doctor Mboka ana makundi yafuatayo:
  1. Madaktari
  2. Wasomi taaluma mbalimbali
  3. Wapenda mabadiliko ya kimfumo
  4. Tabaka la chini na la kati kiuchumi
  5. Wapambanaji wa mfumo kandamizi
  6. Wagonjwa na wagonjwa tarajali
  7. Wakristu na Waislamu wa kweli maana dinizote zinakataza kuua
  Orodha ni ndefu, wote wangependa apone hivyo wanataka kuchanga
   
 18. K

  Kapeleka Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli unauma, wakati umefika kwa watanzania kuchambua jambo kabla ya kufika kuamua na kutenda, swala siyo kuchanga, swala is to critically analyze the issue, break it into its simplest elements such that kila mtu anaelewa, ndipo achukue uamuzi. Kama umefanya matatizo ya Dr. Ulimboka mtaji, pole, bado nenda ka-revive mbinu, hapati mtu pesa ya bure
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,274
  Trophy Points: 280
  Duh,
  Nimecheka sana, but kwa masikitiko kwa kweli.
  Yaani Msangi ana bifu na Ulimboka mpaka aje azuie misaada jamaa asipone??

  Wewe inatolewa tu namba ya simu, unaambiwa ni hela za kwenda kwa Ulimboka, utaamini vipi?? Tena from jina ambalo ni ID tu.

  JF wameanzisha utaratibu wa "verified user" ambapo mhusika anatumia real name, kama meseji inakuja from mtu reliable na ni verified user, I am telling you nitatoa kiasi kikubwa tu!!
   
 20. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tumchangieni jamani huyu mpigania uhuru
   
Loading...