Bado naikumbuka hotuba ya lema baada ya kuvuliwa ubunge..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado naikumbuka hotuba ya lema baada ya kuvuliwa ubunge.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHEMPO, Jul 6, 2012.

 1. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakumbuke ilikuwa siku tulivu,pale vwanja vya nmc,pale mh.lema aliposhika kipaza sauti na kuwasihi wakazi wa arusha watulie na wasiichome arusha yetu.haya maneno sitayasahau yalijaa upendo kwa watu wa arusha na wakazi wake wote...kiukwel arusha ingewaka moto kwa wakati ule...maisha mrefu kamanda wetu naamin wewe ni mbunge wetu bado
   
 2. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Rufaa lini ile?au ndo washamchinjia baharini?
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Rufaa lini ile?au ndo washamchinjia baharini?
   
 4. m

  massai JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  subiri jeykey ateue majaji wa rufaa ambao atakua ameshawapa maelekezo.lema ni mbunge mioyoni mwa wana arachuga
   
 5. m

  mdoe mchaina Senior Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye habari za uhakika kuhusu yule jaji alie tengua ushindi wa lema mbona kama nasikia maombi ya lema yame....
   
 6. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,445
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
Loading...