Mgomo wa mabasi kati ya kilimanjaro na arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa mabasi kati ya kilimanjaro na arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Jul 7, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dalili za mgomo huo zilianza jana baada ya upande wa manispaa ya mkoa wa kilimanjaro kuongeza ushuru wa mabasi yanayofanya safari zake mikoani.hali hiyo imesababisha usumbufu kwa abiria kwani naulu zimepanda mara dufu baada ya mgomo huo kwani vijana wa mkowa huu wa kilimanjaro wamezuia hata daladala ziendazo wilaya mbalimbali kufanya safari zake mpaka hapo mambo yatakapo rekebishwa.
   
 2. L

  Lorah JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli serikali ya ccm dhaifu inaona mapato ni kwenye ushuru wa mabasi tuuu... Huku dom hata ukipaki motuary unaona mtu anakufuata na katiketi.... Si waende buzwagi hukoooooo
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu nipo boma ndo nakuja mo town nataka kufika machame nakwenyew usafiri ni ishu.
   
 4. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  jana nilikuwa barabara ya kibosho na usafiri wa kutoka barabara kuu kwenda kibosho mpaka natoka hapo ulikuwa umefika sh/15000= sijajua usafiri wa machame utakuwaje leo
   
Loading...