Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Determine, Jul 6, 2012.

 1. D

  Determine JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba nimunukuu mmoja wa madaktari:
  The national with no even one public CT SCAN machine that is currently working, .....

  THE NATIONAL HOSPITAL WITH ONE ICU with less than 30 beds.
  THE NATIONAL HOSPITAL with no single paediatric ICU.

  unafiikiri dr tusipokua pamoja tukawaambia hawa wanasiasa kwamba tunataka mabadiliko. nan atawambia??
  IF WE STAND TOGETHER AND TELL THEM THEY WILL UNDERSTAND WHAT WE MEAN.
  BUT TUKIRUDI NYUMA TUTAZIDI KUTESEKA WAKATI NCHI NI YAKWETU NA SIO YA POLITICIAL "
  WAO WAMESHAJICHUKULIA UKUMBI WA KISASA WA BUNGE WAKATI sisi tuhangaika huku bila dawa
  NI WAKATI WETU SISI KUWAMBIA TUNATAKA MAAZINGIRA MAZURI Y A KAZI

  madaktari lazima tuchukue jukumu la kuibadilisha nchi yetu tanzania,Tusiwategemee watanzania wenzetu ambao wako hoi na siasa zinaendelea kuwateketeza(Mwisho wa kunukuu)
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,188
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  Liwalo na liwe, inawaunga mkono!
   
 3. s

  swanga Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pamoja
   
 4. Bebrn

  Bebrn Senior Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bado halijatolewa tamko hilo maana nao wameanza kuwa kama walimu
   
 5. D

  Determine JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hutakaa usikie tamko lolote,make Dhaifu hataki tuonekane popote,(amedhibiti media kwa gharama kubwa sana) sisi tunafanya mambo down to down,ukitaka TAMKO Peleka mgonjwa MOI au MNH
   
 6. S

  Sessy Senior Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli liwalo na liwe....
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Liwalo na liwe
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mgomo wa madaktari umeisha, kilichobaki ni mauza uza. Huduma zinaendelea kama kawaida. Mwananyamala hosp ,temeke hosp na refferal lugalo. shughuli zinaenda kama kawa.
   
 9. drmkumba

  drmkumba Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Daa! masangoma full shangwe!
   
 10. m

  master gland Senior Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya twende kama ni kufa kupo tu hata tusipotibiwa na madaktari waendelee kama kawa next week another shaking to silly magambas .Ni zamu ya walimu kuwaonesha udhalimu unaofanywa na Mr. Dhaifu hebu tusubiri mirindimo yake ya pwani. LIWALO NA LIWE
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jamani Madaktari nilisha sema nina waunga mkono....
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  I support the doctors all the way!!
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  nawaunga mkono
   
 14. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  I am you guys kazeni buti kwa kweli
   
 16. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Me too. Mwaka huu, lazima "Suti za ndani" alizohongwa kama malipo ya kuuza Twiga wetu zimbane Dhaifu.
   
 17. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mh, haya mambo hadi lini?...
   
 18. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dhaifu atajua la kufanya na wapuuzi ccyemu wataweka msimamo wao. liwalo na liwe!
   
 19. controler

  controler JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  U are geting news from very wrong sources! kama vip nenda Muhimbili nn kujipa tabu! nenda pale kabla hujaugua for the sake of couriosity.
   
 20. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
   
Loading...