KIMBURU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 210
- 189
Leo ndio tarehe ambayo CWT walituambia kuwa itakuwa ni ya mwisho kwa majadiliano na serikali, tunatarajia kuanzia kesho CWT itoe mlisho nyuma (feedback) juu ya majadiliano yake na serikali. Matarajio ya walio wengi ni kupata tamko la kuanza mgomo na si vinginevyo.
Hiki na kipindi muhimu kwa bwana Mukoba cha kupima uwezo wake wa kikiendesha chama
Hiki na kipindi muhimu kwa bwana Mukoba cha kupima uwezo wake wa kikiendesha chama