Prof Lipumba kuhutubia mkutano mkubwa Jangwani tar. 15.07.2012. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Lipumba kuhutubia mkutano mkubwa Jangwani tar. 15.07.2012.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jul 6, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mchumi wa kimataifa ambaye ni mwenyekiti wa CUF Taifa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa utakao fanyika siku ya jumapili tarehe 15. 07. 2012 katika viwanja vya jangwani, ambapo pia atakuwepo katibu mkuu maalim seif sharif Hamad ambaye ni makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar pia na mawaziri wote wa CUF walio katika SUK YA Zanzibar, na wabunge wote wa jamhuri ya muungano wa CUF.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,456
  Trophy Points: 280
  Nilisikia hilo tangazo radio iman.
  Asante kwa kuleta hapa.
   
 3. B

  Bob G JF Bronze Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,352
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni vizuri vyombo vya ulinzi hasa polisi wakafanya kazi yao vizuri ili wasije anzisha UAMSHO BARA, Maana akina Jusso na wenzie wametubagua Hadharani hawajapinga wala kutolea maamuzi Kundi la KIGAIDI la UAMSHO
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,352
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hio ndo redio yao ambayo washabiki wao husikiliza na Kulishana Ujinga wa Kibaguzi wa Kidini
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kweli cdm ni Baba yao, kaanza cdm kafuatia ccm na sasa cuf!
  Kweli vyama vinaiga!
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,992
  Likes Received: 8,432
  Trophy Points: 280
  Radio imani ilitangaza kumbe!
   
 7. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,482
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Sentensi ya mwisho.
  . Jamhuri ya Muungano Wa CUF au Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania???!!??
   
 8. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wengine wagonjwa nyie..!!! Haya we umejuaje mkutano utakuwa mkubwa wkt haujafanyika? Je wakija watu 42 tu kama ule wa Nape aliofanyia sokoni, utatubadilishia jina au?
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  ni mkutano wa dini au wa siasa!?
   
 10. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usije ukadhani kakosea, ndio walivyoelekezwa na UAMSHO.
   
 11. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kama ile ya UAMSHO. Sasa sijui wenye makanisa ya huku bara watakubali kuiachia serikali au watayalinda wenyewe
   
 12. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mtatiro atakuwepo siku hiyo?, maana sijamuona siku nyingi. mara ya mwisho nilimuona akipigana na kiongozi mwenzie pale buguruni
   
 13. a

  andrews JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​nape na vibaka wengine toka ccm watawakilisha chama tawala
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  ukubwa umeupimaje mkuu????
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,656
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Tutarajie kuona suruali fupi gobazi na vibaragashia kwa wingi na shanga kwa wingi mkononi
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Chama chetu kinaongozwa na msomi kile kingine disco joker.....mwongozo mh spika...Futa kauli yako....Nafuta mh spika lakini message sent.Bunge la full mipasho kazi tunayo
   
 17. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  atachambua bajeti mbovu iliyopitishwa na wabunge wa ccm, na hali mbaya ya uchumi wa Tanzania na umaskini.
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ubwabwa, pilau, kahawa, tende, kashata, halua, nk vitakuwepo!
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,605
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  CUF hapo ina historia ya kufanya mkutano kingangari embu tafuta hadidu rejea uone ,kama polisi walitaka kuzuia mkutano wa CUF hapo wakashindwa.
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,605
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Ni mkutano wa dini ,kwani huo si wa serikali au katiba ,Ilivyokuwa raia wana dini bila ya shaka na huo utakuwa dini na siasa.
   
Loading...