CCM kutumia mali za serikali kwa shughuri za kichama mpaka lini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kutumia mali za serikali kwa shughuri za kichama mpaka lini??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 7, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,368
  Likes Received: 8,413
  Trophy Points: 280
  Napita hapa katika shule ya Msingi Kihonda Magorofani katika kata ya Kihonda manispaa ya Morogoro ndani ya madarasa ya shule ya msingi nawaona watu webgi mavalia nguo za kijani na nje kuna magari yamepaki na wanafunzi wako nje wanacheza.

  Nimegundua kuwa CCM wanafanya vikao vyao vya kichama ndani ya majengo ya serikali naujiuliza ni Hakina halili????

  Na kawaida madarasa kama hayatumiku huwa yanafungwa sasa uongozi hasa mwalimu mkuu na kamti ya shule wanamamlaka haya ya kuruhusu upuuzi huu na uvujanji wa sheria??

  Inamaana CCM imekosa hela za kukodisha ukumbi??
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hili ni tatizo hapa watakuwa wanachagua viongozi wao
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  nenda kawashtaki polisi usitupotezee muda hapa
   
Loading...