Kushindwa kwa MIGOMO nchini na KIFO cha CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushindwa kwa MIGOMO nchini na KIFO cha CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Jul 7, 2012.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

  Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

  Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
  HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ccm ipo juu ya kipande cha godoro, meli ishazama nungwi, cdm wenzio wako kwenye boti tayari kuwaokoa wahanga, wewe unawachuuza wenzio! Kigodoro kishaanza kulowa,
  CCM KUKOSA MAZIKO!!!!!
   
Loading...