Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakiwezi kukubali viongozi wake wanaodaiwa kutishiwa maisha kuhojiwa na Jeshi la Polisi kama imevyoelekezwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuanza ziara ya kuimarisha chama katika mikoa mitano. nayo ni dodoma,singida,manyara,iringa na morogoro. source: clouds tv
0 Reactions
42 Replies
3K Views
HUYU ZOKA NDIE ANAIHARIBU NCHI KWA KUSHIRIKIANA NA KIKWETE NA NDIO MANA MIGOGORO HIWEZI ISHA MANA NCHI INAONGOZWA ZAID KIUSHIKAJI PASIPO KUFUATA MISINGI YA UONGOZO NA TARATIBU ZA KUIONGOZA NCHI...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chama cha wananchi cuf kimenifurahisha suala moja kilipo fika nachingwea kimefanya jambo ambalo ni mfano kwa vyama vingine vya siasa. Jambo ni kuwachangisha kiasi fulani cha pesa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na kiongozi na Raisi wa Marekani wa USA kutumia basi; Mfano kwenye maonyesho wabunge au kiongozi wa nchi akitumia basi ataokoa shillingi ngapi
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
  • Closed
Wakuu habari za Jumapili We have just finished a Press Conference here at HQ, ambapo kutokana na uzito na umuhimu wa suala lilizongumzwa leo mbele ya wanahabari, viongozi wakuu wa chama...
29 Reactions
811 Replies
63K Views
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao -majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
ni muda mrefu sijasikia vuvuzela hili bungeni sijui yuko wapi? au ndio yupo simanjiro anajenga chama kwa kumuhofia OLE MILYA?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbunge wa CCM Jimbo la Mbozi Mashariki, Mheshimiwa Godfrey Weston Zambi Jumatano wiki hii mjini Moshi amefunguliwa kesi ya madai na kampuni ya Lima Limited akidaiwa fidia ya shilingi 2.4 bilioni...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Bwana Nyimbo alikuwa anahutubia mamia ya wananchi wa kijiji cha Nyololo Njia panda, mwezi mmoja uliopita na kueleza kuwa Shahidi namba moja kuwa mawaziri...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Hello people! Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma...
8 Reactions
151 Replies
13K Views
Kwa hari ya mambo yanavyoendelea mjengoni ni wazi kuwa bajeti ya wizara ya maji iko hatarini kutopitishwa kutokana na uchakachuaji mkubwa wa wizara na miradi mbalimbali ya wafadhili kuliwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutoka chanzo sahihi ndani ya wizara ya Afya na AMO mmoja wilaya ya kusini mwa Tanganyika yetu. Habari nilizo nazo, ni kuwa wizara hiyo imetoa agizo kuanzishwa kwa chama hicho, tayari...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
By Habari Leo Mahekalu ya Vigogo kuvunjwa ufukweni WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ametoa wiki mbili kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni, kutoa...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI?naomba unijulishe natamani sana hili lifanyiwe kazi naomba majibu tafadhali,tuwaunge mkono madaktari ili waishinde vita hii.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia,"...
10 Reactions
179 Replies
13K Views
Huu ni wakati wa kuiondoa CCM madarakani kwa kutumia mwigo wa Katiba mpya ,Katiba mpya inamuelekeo wa kuwepo serikali tatu ,mawazo yalio mengi kutoka Zanzibar ni kuwepo kwa serikali tatu au...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa Liberia,Mwanamama Hellen Johnson Sirleaf,atatua Tanzania siku ya Jumatano ijayo tarehe 18/7/2012 kuitikia mwaliko wa Wanawake wa UDSM.Amealikwa pia na Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA NA MH.MWIGULU NCHEMBA JUU YANGU NA CHAMA CHANGU. Ndugu zangu kwanza nachukua nafasi hii kuendelea kumshukuru Mungu kwa afya njema...
16 Reactions
109 Replies
9K Views
Back
Top Bottom