chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuanza ziara ya kuimarisha chama katika mikoa mitano. nayo ni dodoma,singida,manyara,iringa na morogoro.
source: clouds tv
nitawakumbusha kamanda lakini ni dodoma na si mororgoro.Wakumbuke kuwabebea wananchi wa morogoro zile Cd za matusi ya Lusinde Arumeru ili wananchi waone jins mbunge wao asivyo na adabu na ujinga wake
kumbuka m4c ni zao la operesheni sangara.Hii ni M4C sio operation sangara. Umma unawasubiri kwa Nchemba M
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuanza ziara ya kuimarisha chama katika mikoa mitano. Nayo ni dodoma,singida,manyara,iringa na morogoro.
Source: Clouds tv
nitawakumbusha kamanda lakini ni dodoma na si mororgoro.
hawataacha mtaa, kijiji, kitongoji, kata, jimbo, wilaya na hata mkoa ni muda tu.Wakitoka huko waende na Tanga, Bagamoyo, na ikiwezekana Zanzibar...