Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frema120, Jul 5, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  -Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
  -majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k

  kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
  nawasilisha!

  SOURCE: Mjumbe wa maazimio hayo.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Madhara ya huu mpango ni mbaya sana sana sana. Ukishaingiza siasa kwenye idara za serikali basi nchi haiwezi kupiga hatua hata kidogo. Itaishia kwenye 'state corruption' ya hali ya juu na taaluma za watu zitafunikwa. Jamani dunia inasonga mbele tena kwa kasi kubwa, hakuna atakayesubiri Tanzania imalize siasa zake. Giza tupu.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Who cares?
   
 4. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  waanze na mimi.nipo halmashauri. na kwa taarifa kwenye uchaguzi wa 2010.aliyeongoza kwenye boma letu ni dr Slaa ingawa wapigaji kura tulikuwa watumishi,hata ccm wilaya na mkoa wanajua ilo.Pia nikitambua kuwa kuna kada shushu kwenye ofisi yangu lazima akipate mapema kabla hajamwaga ugali.
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Mbona kama wewe ni mgeni na Tanzania na siasa zake? ni idara ipi ya serikali ambayo sio politicized? anza na polisi, jeshi, mahakama, benki kuu, hazina, vyuo vikuu, kila taasisi inaendeshwa kisiasa ndio maana hakuna maendeleo nchi hii! Rais na mawaziri hawajui lini wanafanya kazi za serikali lini wanafanya za chama! mawaziri wanaenda kwenye kampeni za chaguzi ndogo mfano Igunga, Arumeru na kutumia nafasi zao za uwaziri kutisha wananchi kuwa wasipochagua ccm hawapati huduma halafu wewe unafikiri hakuna siasa kwenye taasisi za umma??
   
 6. m

  makamaka Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  njama za kuiba pesa zinaanza kusukwa
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli, kwa mbinu hii ndiyo watazidi kujichimbia kaburi. Wananchi wengi wanateseka hivi sasa kwa ajili ya kuendekeza mambo kama haya na yametufikisha hapa. Kwanini wasijipange kutekeleza sera na ahadi zao ili kujenga imani kwa wananchi. "Ukiwa na haki ni rahisi sana kutetewa na kupiganiwa kuliko ukiwa jangili".
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  To hell.
   
 9. H

  Honey K JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
   
 10. H

  Honey K JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli, wamechemka vibaya siku hizi watu wamepinda.Halafu wana uhakika gani watatawala milele?
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Liwalo na liwe, Kama noma iwe noma. Kwani Profesor Baregu ameugua?
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Victims wengi zaidi watatokea Arusha Arusha MBeya Moshi Iringa Kilomanjaro Mara Bukoba etc.
  Waharakishe mpango huo ili nimfahamu mtu ofisini kwangu ambaye anaweza kuwa ccm hadi miaka hii!
   
 14. S

  STIDE JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  kumbe na wewe unalijua hilo!!? Hakika kifo cha Watani HAKIEPUKIKI!!

  Ila mkuu kwa mbinu hii ya Mabwepande mliyoiasisi itawawaishia zaidi kifo chenu!!
  Sasa utahamia CCK au CHAUMMA?
   
 15. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nape unafurahisha sana, vyama vingine unajua vitakufa eti ccm hata kikwete akiiasi ukabaki peke yako haifi, you must be genius
   
 16. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  kama kweli wanampango huo hawawezi kufanikiwa kwani watumishi wengi wa serikali hawapo upande wao(MAGAMBA) hata wakuu wa idara mbali mbali wapo upinzani hivyo wajue kifo chao kipo palepale tu 2015
   
 17. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,624
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280
  Nape, vipi kuhusu hatima ya wale Magamba 3 na wafuasi wao? Maana kumbukumbu zinaonesha wewe ndio ulikuwa uko mstari wa mbele kuwashighulikia. Kuna maendeleo yoyote kuhusu hatima yao?
   
 18. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ''Sibabaiki na watumishi ,km hawaridhiki na mishahara wasinipigie kura'' mmoja wa wagombea wakati huo alitamba, sasa maji ya shingo wanaanza dirty politics,lkn wajue hiyo sio dawa ,huko kwenye mazingira magumu ndio kuzuri kueneza upinzani kwani bado haujafika sana kwa hiyo itakuwa vizuri
   
 19. B

  Bob G JF Bronze Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Itakuwa ni kujipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la ccm, watu tumechoka na ccm, na mbinu hizi za kijinga ndo zinaimaliza ccm
   
 20. Electron

  Electron Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  let it be, wanaendelea kumimina petrol kwenye moto wa hasira za watu...... walahi naona mbele kuna mapinduzi kama yale ya "Arab awakening" yanakuja.... change is inevitable, irresistible!
   
Loading...